TANZANIAN NINJA
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 456
- 534
wataachana tu, mlete huyo na wewe kwa pamoja halafu muone nani ataolewa Mimi au nyinyi.Unataka uolewe wewe ili ndoa hidumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wataachana tu, mlete huyo na wewe kwa pamoja halafu muone nani ataolewa Mimi au nyinyi.Unataka uolewe wewe ili ndoa hidumu?
Obvious utaolewa wewewataachana tu, mlete huyo na wewe kwa pamoja halafu muone nani ataolewa Mimi au nyinyi.
Nakazia kwa herufi KUBWA..!Nililiwaza hili kuwa pesa ni mwanaharam yani nandy alienda kwa ruge kimaslahi ili nyota isianguke maana clouds ndio waliomtoa kimuziki
Sometime baadhi ya wanawake linapokuja swala la kufight kutoka kimaisha huwa wanaweza kukukimbia hata kama wanakupenda vipi
unakalia wewe.Obvious utaolewa wewe
Mjamzito lazima aongezeke uzito achana na imani zako potofuBila shaka anamaaniaha "minjingu"
Ila Sasa hata unenepaji wa Sasa wa fausta nao unaonesha kabisa kua dozee imepamba Moto[emoji38]
Mtu anaetumia dozi hua ngumu kuambukiza viral load yake inakua ipo chiniMzee mimi nikiona mtu anashangaa ukimwi karne hii namshangaa yeye kwa sababu now ukimwi sio ishu unaweza pata katika mazingira usiyotarajia hasa walio kwenye ndoa ndo wapo lwenye hatari zaidi kama mmoja sio muaminifu.
Ruge anaweza akawa kawapitia hao kweli lakini wasiambukizwe..na kama ingekua rahisi hivyo basi Bongo fleva wote wagonjwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ni kwamba Wille Hela Hana na Faustina Charles kwao Hela Ipo so ni Kama William kaolewa Yeye
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu hawajapenda nandy alivyoolewa,,kama vile wangeolewa wao,
Inashangaza hasa wanaume[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Genta bhana, uwiiiihMimi nina Swali Moja tu Kwao Wanandoa hawa je, walipima VVU na Kujiridhisha 100% na Matokeo ya Vipimo? Nimesikitika sana, ila naomba tu niishie hapa tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo mwisho nacheka sana
Price zingine zinahitaji kujitoa ufahamu. Yaani mtu akuteme, akajibebishe kwa mwingine kisha apigwe miti ya kutosha mpk ajengewe nyumba. Mungu afanye take huko ndipo anirudie???!Everything has a price to pay.
Congratulations Bill Bass you made the right choice
Kumbe unatafuta kuolewa kupitia kumkandia nandy😂😂😂😂 Yani uko kooote muoaji hajakuona aje akuonee hapa,, endelea kudanga, mwenzio yuko honeymoonwataachana tu, mlete huyo na wewe kwa pamoja halafu muone nani ataolewa Mimi au nyinyi.
True mkuuMahusiano iliyafike ktk prime yanahitaji watu wawili ambao mmoja wapo Ameamua kuwa mjinga
Je! Ujio wa kofiolomide haukuimarisha zaidi uhusiano wa wa wanandoa hao?Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.
Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.
Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.
Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.
"Okushwela enyahilya". Mambo ya waswahili hayo.Waswahili ndiyo zeu kuoa makayamba. Huku kwetu na pwani, sifa ya mwanamke ni kuwa na VYUO vingi , aliyekubuhu, limeachwa mara kama tano halafu unaoa ndiyo zenu!
"Kushaba Eshabile"
Kama kijiweni kujadili mpira bila kuwepo na stori za mikeka 😀😀😀Yaani nlikuwa nawaza huu unaendaje pasi na kutajwa UKIMWI
Huwezi jua mipango yao ilikuaje mzeiyaa. Nass mtt wa kili ukute alikubali kiroho safi akimwambia bibie akiwa anaparua huko awe anatuma tu kwenye mpesa 😀😀😀Price zingine zinahitaji kujitoa ufahamu. Yaani mtu akuteme, akajibebishe kwa mwingine kisha apigwe miti ya kutosha mpk ajengewe nyumba. Mungu afanye take huko ndipo anirudie???!
Okushaba eshabile nigo mainale! Tibalikunuga! Omuhaya koshwekla Enyailya Tolamya!"Okushwela enyahilya". Mambo ya waswahili hayo.