Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

Huyo RM si ilisemwa aliaraaipiishwa na dalii kimoko jmn..embu acha inyeshe kwanza tujue panapovuja
Sio shida mbona kuna discodant couple kibao tu maisha yanasonga.
 
Mkuu upo serious hao wote uliowaorodhesha hapo wanabugia njugu?
Mzee mimi nikiona mtu anashangaa ukimwi karne hii namshangaa yeye kwa sababu now ukimwi sio ishu unaweza pata katika mazingira usiyotarajia hasa walio kwenye ndoa ndo wapo lwenye hatari zaidi kama mmoja sio muaminifu.

Ruge anaweza akawa kawapitia hao kweli lakini wasiambukizwe..na kama ingekua rahisi hivyo basi Bongo fleva wote wagonjwa.
 
Wanawake waliopita THT karibia 80% mwongoza njia amepita nao
Nandy. Linah. Mwasiti. Mke wa romy jons zamaradi. Jay dee.. ray c..kaby. .jamaa kachafua wote..

Na wote wanabugia karanga
KUBUGIA KARANGA YOU MEAN tld?
 
Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.

Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.

Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.

Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.

Muhuni alikaza
 
Fau na Will hawajawahi kuachana, Ruge alikuwa by the way
Family Pressures tu kuwa walikuwa hawamuaminii Nenga ila kimsingi hata Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaweka tu akijiskia na demu angekuwa anamPelekea Cargo.

Thats unconditional love na hata Nenga alijua kikwazo ni bimkubwa tu sasa njia aliotumia ya kumtia kibendi kwanza ilibidi wakubali tu yaishe. Wazazi wengi ikifika hio stage wanalegezaga kamba😂😂😂
 
Family Pressures tu kuwa walikuwa hawamuaminii Nenga ila kimsingi hata Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaweka tu akijiskia na demu angekuwa anamPelekea Cargo.

Thats unconditional love na hata Nenga alijua kikwazo ni bimkubwa tu sasa njia aliotumia ya kumtia kibendi kwanza ilibidi wakubali tu yaishe. Wazazi wengi ikifika hio stage wanalegezaga kamba😂😂😂
😂😂😂😂 Hapo mwisho nacheka sana
 
Nililiwaza hili kuwa pesa ni mwanaharam yani nandy alienda kwa ruge kimaslahi ili nyota isianguke maana clouds ndio waliomtoa kimuziki

Sometime baadhi ya wanawake linapokuja swala la kufight kutoka kimaisha huwa wanaweza kukukimbia hata kama wanakupenda vipi
Ila still benefits zingemfikia Nenga sababu the girl real loves the Goon! Yani angekuwa kwa Ruge kimwili ila kiroho yuko kwa Nenga na mchongo wote muhuni lazma alikuwa anaelewa.

Ni fala Pekee anaeweza kufikiri kuwa hawa wawili waliachana.
 
Nimeona ona sana wadau wakisema Nandi katoka familia yenye hela! Ebu fafanueni, ni Nandi yupi, huyu Nandela wa Tabata, baba'ake mwenye shughuli yake kabla ya kufika Mawenzi pale? Nandi yule akiuza duka au?
Nandela kwao hela ilikuwa hamna before hajaangukia mkononi mwa Jasiri Mwongoza njia. Ila baada ya ustaa na connection amekuwa bread winner. Same as Nenga nae kwao sio kivile ila ukishakuwa mchaga hamna kitu kinafeli😂
 
Waswahili ndiyo zeu kuoa makayamba. Huku kwetu na pwani, sifa ya mwanamke ni kuwa na VYUO vingi , aliyekubuhu, limeachwa mara kama tano halafu unaoa ndiyo zenu!
"Kushaba Eshabile"
[emoji1787][emoji1787][emoji2960] nimecheka
 
Back
Top Bottom