Aisee..Yote heri ...na ipo wazi kwa late Ruge nandy alijigongesha ila Nenga ndio alofika...tuwatakie kila lililoheri maishani mwao
Waswahili ndiyo zeu kuoa makayamba. Huku kwetu na pwani, sifa ya mwanamke ni kuwa na VYUO vingi , aliyekubuhu, limeachwa mara kama tano halafu unaoa ndiyo zenu!Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.
Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lkn ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.
Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana.
Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi take kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.
Kitu ambacho mm siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.
Unaweza kuwa unakula leo lkn unakula "makombo ya upendo".''Mla mla leo, mla Jana kala nini?''
Tuoe wanaotupenda kwa dhati siyo by the wayUkimwi unaua vijana oeni
Waswahili ndiyo zeu kuoa makayamba. Huku kwetu na pwani, sifa ya mwanamke ni kuwa na VYUO vingi , aliyekubuhu, limeachwa mara kama tano halafu unaoa ndiyo zenu!
"Kushaba Eshabile"
Ukimwi unaua vijana oeni