Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

Antilock Brake System....

Inazuia tairi isilock ukifunga brake kwa nguvu. Magari ya kisasa huo mfumo ukiwa na shida huondoki, tafuta fundi akusaidie inawezakana ni sensor tu.

Siku nyingine nunua gari za Japan 😂😂😂😁, over!
 
Maana ya ABS ni
A = antilock or automatic
B = brake
C = system
Au kwa kiswahil ni mfumo wa brake wa umeme sawa boss
 
Mmmhhh haipo kwenye gia hiyo gari cha kwanza hakikisha gear ipo kwenye parking au newtro pia hiyo ABS haizuii gari kuwaka kiongoziii ila angalizo hakikisha gariii iwe kwenye parking au newtro sawa kaka
Ipo Kwenye Parking Bro
 
Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
Maneno yako yana mushkell ....
hilo gari sio lako ama ni la jirani.....
gari ya push button unachomekaje funguo!!!?...
ule ufunguo unatumika kufungua milango tu sio kuwasha gari
 
Antilock Brake System....

Inazuia tairi isilock ukifunga brake kwa nguvu. Magari ya kisasa huo mfumo ukiwa na shida huondoki, tafuta fundi akusaidie inawezakana ni sensor tu.

Siku nyingine nunua gari za Japan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16], over!
Dah Kudadadeki
 
Mkuu sasa utafanyaje, labda jaribu kumcheki fundi.....
 
Back
Top Bottom