humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
sijui hii kitu ina maana gani hata mimi juzi ilitokea kwenye gari yangu wakati nimesimama, "ABS" ilikuwa ina blink kwenye dashboard pia taa ya check engine ikawa inawaka alafu kuna wakati gari ikawa kama inataka kuzima.
Nime-google sasa hivi, nimeona (ABS) inahusiana na hitilafu iliyopo kwenye breki.
Nime-google sasa hivi, nimeona (ABS) inahusiana na hitilafu iliyopo kwenye breki.