Oscamaduhu
Member
- Jul 29, 2022
- 24
- 20
M
Majuzi mafundi walicancel abs kwenye gari yang hali iliyopelekea nikapata ajali na gari kuanguka kabisa sabab kuna mda nilifunga brake ya ghafla gari ikageuka ilikotoka je ABS inaweza kwel sababisha madhara kiasi hichoAnti-Locking Brake System! Ama anti -skidding brake system inazuia gari kubana brake jumla jumla ama kuteleza kwa matairi unapominya brake kwenye mazingira ya mvua mvua!
Gari yako katatue tatizo la brakes ama speed sensor! Kuleta hio sms maana yake ni kuwa gari imezingua upande huo wa matairi!
Kutokuwaka kwa gari ni kawaida kwa gari za mjerumani inatakiwa ikutese ili upate akili ya kununua gari ya mjapani isio na usumbufu!