Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.

Automatic Break System
 
Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.

Anti-Locking Brake System! Ama anti -skidding brake system inazuia gari kubana brake jumla jumla ama kuteleza kwa matairi unapominya brake kwenye mazingira ya mvua mvua!

Gari yako katatue tatizo la brakes ama speed sensor! Kuleta hio sms maana yake ni kuwa gari imezingua upande huo wa matairi!

Kutokuwaka kwa gari ni kawaida kwa gari za mjerumani inatakiwa ikutese ili upate akili ya kununua gari ya mjapani isio na usumbufu!
 
Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
gari ni lako ama la shem?
 
Soma Mtandaoni Touareg 2007 Ina Option ngapi za kuwasha gari, Hapa Nikikwambia Ina Gear Automatic na Manual ndo nitakuwa nimekuacha kwenye mataa kabisa
Leta mrejesho sasa. Maana kama ushauri tulikupa wa kutosha. Tatizo ulitatuaje.
 
Unanichukuliaje mkuu kwamba sielewi lolote kuhusu gari kuwa manual na automatic (semi-auto)
Kama uko kamili usingeuliza kwanini kuna push to start button na Key Starter mzee nyamaza
 
Wewe umeshindwa kuelezea na ueleweke kwa maelezo yako mtu yeyote lazima umchanganye hakuna gari ya push to start alaf hapo hapo ikawa na funguo.
Mzee angalia Touareg 2007 ina Option ngapi za kuwasha gari, kwanini unakuwa mgumu kuelewa na uko na google hapo inayoweza kukupa jibu ndani ya 30 sec
 
Toka lini gari ya Push Start ikawashwa tena na funguo? gari za nchi gani hizo?
Umezoea sienta😀😀 duniani kuna gari nyingi sana kila kampuni wanaeza kuja na model yake wakaamua iwe hivi...gari la jamaa inaonekana lina vyote kwa pamoja
 
Wewe umeshindwa kuelezea na ueleweke kwa maelezo yako mtu yeyote lazima umchanganye hakuna gari ya push to start alaf hapo hapo ikawa na funguo.
Wewe kutokuijua haimaanishi haipo ..kama bajaj zipo ambazo ni push button hapo hapo fuñguo inawasha pia na hizo ni za kutoka india sembuse gari za japan au German
 
Pole sana...
VW zikiamua kuzingua utajuta...
 
Back
Top Bottom