humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
Anti-locking braking system.ABS maana yake ni Automatic Braking System
Chomoa terminal moja ya battery(-) halafu rudishia. Ikigoma ita fundi mwenye diagnosis machine aje afute error codes.Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
Toka lini gari ya Push Start ikawashwa tena na funguo? gari za nchi gani hizo?
Naona mmemkomalia jamaa. Kama kitu hujawahi kuona using'ang'anie hakipo. Hizo gari na nyingine zina REMOTE KEY. Unaichomeka sehemu yake then you PUSH TO START/OFF.Tumepigwa hapa
Mkuu kufuta error codes unamaanisha kuwa aje kutengeneza kilichoharibika?Chomoa terminal moja ya battery(-) halafu rudishia. Ikigoma ita fundi mwenye diagnosis machine aje afute error codes.
Sio lazima. Sometimes hizi gari inapata errors to kwenye system. Ukifuta inatulia. In case error inajirudia tena hapo ndio unatafuta sababu yake na kutatua.Mkuu kufuta error codes unamaanisha kuwa aje kutengeneza kilichoharibika?
Aisee!Alafu gari ikiharibika/isipowaka huwa ni takataka kubwa
@RRONDO Mkuu upo sahihi hapa..Sio lazima. Sometimes hizi gari inapata errors to kwenye system. Ukifuta inatulia. In case error inajirudia tena hapo ndio unatafuta sababu yake na kutatua.
Mfano hio abs unaweza kuta alipita tu kwenye maji error ikatokea na maji yalishakauka so unaweza kufuta uka clear code ikakaa sawa.
Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
Mmmhhh haipo kwenye gia hiyo gari cha kwanza hakikisha gear ipo kwenye parking au newtro pia hiyo ABS haizuii gari kuwaka kiongoziii ila angalizo hakikisha gariii iwe kwenye parking au newtro sawa kaka
Consult your manual!Maana ya ABS ni
A = antilock or automatic
B = brake
C = system
Au kwa kiswahil ni mfumo wa brake wa umeme sawa boss
Toka lini gari ya Push Start ikawashwa tena na funguo? gari za nchi gani hizo?
Soma Mtandaoni Touareg 2007 Ina Option ngapi za kuwasha gari, Hapa Nikikwambia Ina Gear Automatic na Manual ndo nitakuwa nimekuacha kwenye mataa kabisa