Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

Antilock Brake System....

Inazuia tairi isilock ukifunga brake kwa nguvu. Magari ya kisasa huo mfumo ukiwa na shida huondoki, tafuta fundi akusaidie inawezakana ni sensor tu.

Siku nyingine nunua gari za Japan πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜, over!
Extrovert uje kwanza, ila na wewe hauchelewi kula ban hahaha..
 
Soma Mtandaoni Touareg 2007 Ina Option ngapi za kuwasha gari, Hapa Nikikwambia Ina Gear Automatic na Manual ndo nitakuwa nimekuacha kwenye mataa kabisa
Wewe umeshindwa kuelezea na ueleweke kwa maelezo yako mtu yeyote lazima umchanganye hakuna gari ya push to start alaf hapo hapo ikawa na funguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…