Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

M
Majuzi mafundi walicancel abs kwenye gari yang hali iliyopelekea nikapata ajali na gari kuanguka kabisa sabab kuna mda nilifunga brake ya ghafla gari ikageuka ilikotoka je ABS inaweza kwel sababisha madhara kiasi hicho
 
Mkuu i have a similar case, mie pia gari iligeuka ikapanda ngema ya mwendokasi kabisa. That was effect ya abs sensor. Ilikuwa imeweka warning kwa dashboard kuwa system ina fault baada ya kufunga master cylinder mpya na kutoa upepo nikajifariji kuwa haina noma. Balaa lililonikuta sio dogo πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ nimepasua taa moja ya nyuma na kupindisha body.
 
Maneno yako yana mushkell ....
hilo gari sio lako ama ni la jirani.....
gari ya push button unachomekaje funguo!!!?...
ule ufunguo unatumika kufungua milango tu sio kuwasha gari
nawe acha ushamba,sio gari zote zinachomekwa funguo kama ulizozoea, bmw na vw wana mfumo tofauti
 
Maneno yako yana mushkell ....
hilo gari sio lako ama ni la jirani.....
gari ya push button unachomekaje funguo!!!?...
ule ufunguo unatumika kufungua milango tu sio kuwasha gari
kaiba hilo gari
 
VW, BMW zina remote, bila kuichomeka mfumo wa umeme hauconect na push button haifanyi kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…