Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

Kweli tujitahidi kuoa mtu ata aliefika form four tu. Hawa ndio wale Wanakwambia I love you, Ukijibu ''I love you more" Anasema umemuita ng'ombe. Wewe ni kumbafu dear.
 
Uzi ufungwe
 
Shida kuitwa dear na mtu nisiyemfahamu. Dear how?
Ambacho nimeelewa tu ulimdharau yule dogo kisa hana hela na ukaona hana hadhi ya kukuita dear. Umeongea sana kwa mihemko. Ila we ni mshamba ata kama una hela kaa utulie na utulizane. We unataka mtu akufahamu ndio akuite dear ili iweje? Punguza dharau heshimu kila mtu na we uheshimiwe. Ona sasa umeonekana punguani huku. Voda wanavyokuitaga dear customer unawafahamu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…