Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
- Thread starter
- #161
Lazima uchukieYani mimi mtu nisiyempenda akiniita hivo nachukia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uchukieYani mimi mtu nisiyempenda akiniita hivo nachukia sana
Dear mshkajiDear friend, dear father, dear mother, dear brothers and sisters, dear colleagues, ...
Naamini wewe ni me.Wewe ndiyo una tatizo.
Umezeeka kama mimi na English yetu ya shule za Nyerere.
Nadhani darling, My love na honey zina maana tofauti na dear ingawa dear inawahusu wote hao wengine.
Hiyo sio sababu ya Msingi then soma hoja vizuri ueleweSasa Arusha kuna jipya gani? Na Gays wako kibao. Lol
Dear member ushamba wako tu unakusumbuaKwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada tunaitana sana hivyo.
Cha kushangaza sasa...Unaweza ukawa unawasiliana na mtu/mdada ambae hamfahamiani hata sura, inaweza ikawa kibiashara au kwa sababu nyingine, anakwambia okay dear, yaani dear dear za kutosha. Hili huwa linanishangaza yaani iweje huyu mtu hanijui kuniita dear amewaza nini. Sipendi hii tabia.
Sasa leo mimi nimefiwa na mjomba wangu jamani kwanza nipeni pole maana nina majonzi ya kutosha. Huyu mjomba tumeishi nae kipindi nipo mdogo, so ni mjomba wangu wa karibu sana. Rambi rambi napokea.
Nikapost whatsapp status rest in peace my uncle..kuna dogo mmoja ambaye ni fundi seremala huwa namtumia kunitengenezea baadhi ya kazi zangu akarespond ile status akasema "pole dear". Nimejibu asante lakini nimejiuliza sana huyu dogo vipi kuniita dear wakati hatuna hata mazoea nae zaidi ya kazi mara moja moja kuniita mimi dear. Sijapenda naona kama ni ukosefu wa adabu.
Je nyie wenzangu neno dear mnalitumia kwa watu aina gani? Mimi nalitumia kwa mpenzi na kwa mashosti zangu wa karibu kabisa.
Sawa dearDear member ushamba wako tu unakusumbua
Nimeisoma na ndo maana nikajibu.Hiyo sio sababu ya Msingi then soma hoja vizuri uelewe
Nimekuambia mimi na wewe tumezeeka.Naamini wewe ni me.
mnaitana dear na marafiki zako?
Dear usiku mwemaDear mshkaji
Nikapost whatsapp status rest in peace my uncle..kuna dogo mmoja ambaye ni fundi seremala huwa namtumia kunitengenezea baadhi ya kazi zangu akarespond ile status akasema "pole dear". Nimejibu asante lakini nimejiuliza sana huyu dogo vipi kuniita dear wakati hatuna hata mazoea nae zaidi ya kazi mara moja moja kuniita mimi dear. Sijapenda naona kama ni ukosefu wa adabu.
Je nyie wenzangu neno dear mnalitumia kwa watu aina gani? Mimi nalitumia kwa mpenzi na kwa mashosti zangu wa karibu kabisa.
Vibinti vya Kichina Alibaba huwa mazungumzo yao ni Dear. Kwa maana hiyo unayosema, ungevitongoza vyote!Kwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada tunaitana sana hivyo.
Cha kushangaza sasa...Unaweza ukawa unawasiliana na mtu/mdada ambae hamfahamiani hata sura, inaweza ikawa kibiashara au kwa sababu nyingine, anakwambia okay dear, yaani dear dear za kutosha. Hili huwa linanishangaza yaani iweje huyu mtu hanijui kuniita dear amewaza nini. Sipendi hii tabia.
Sasa leo mimi nimefiwa na mjomba wangu jamani kwanza nipeni pole maana nina majonzi ya kutosha. Huyu mjomba tumeishi nae kipindi nipo mdogo, so ni mjomba wangu wa karibu sana. Rambi rambi napokea.
Nikapost whatsapp status rest in peace my uncle..kuna dogo mmoja ambaye ni fundi seremala huwa namtumia kunitengenezea baadhi ya kazi zangu akarespond ile status akasema "pole dear". Nimejibu asante lakini nimejiuliza sana huyu dogo vipi kuniita dear wakati hatuna hata mazoea nae zaidi ya kazi mara moja moja kuniita mimi dear. Sijapenda naona kama ni ukosefu wa adabu.
Je nyie wenzangu neno dear mnalitumia kwa watu aina gani? Mimi nalitumia kwa mpenzi na kwa mashosti zangu wa karibu kabisa.
Ni ushamba wakoKwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada tunaitana sana hivyo.
Cha kushangaza sasa...Unaweza ukawa unawasiliana na mtu/mdada ambae hamfahamiani hata sura, inaweza ikawa kibiashara au kwa sababu nyingine, anakwambia okay dear, yaani dear dear za kutosha. Hili huwa linanishangaza yaani iweje huyu mtu hanijui kuniita dear amewaza nini. Sipendi hii tabia.
Sasa leo mimi nimefiwa na mjomba wangu jamani kwanza nipeni pole maana nina majonzi ya kutosha. Huyu mjomba tumeishi nae kipindi nipo mdogo, so ni mjomba wangu wa karibu sana. Rambi rambi napokea.
Nikapost whatsapp status rest in peace my uncle..kuna dogo mmoja ambaye ni fundi seremala huwa namtumia kunitengenezea baadhi ya kazi zangu akarespond ile status akasema "pole dear". Nimejibu asante lakini nimejiuliza sana huyu dogo vipi kuniita dear wakati hatuna hata mazoea nae zaidi ya kazi mara moja moja kuniita mimi dear. Sijapenda naona kama ni ukosefu wa adabu.
Je nyie wenzangu neno dear mnalitumia kwa watu aina gani? Mimi nalitumia kwa mpenzi na kwa mashosti zangu wa karibu kabisa.
Kwani neno ''dear'' ni la kiswahili ili ilete ukakakasi? Na kwa nini kwenye barua tu ndiyo iwe sawa lakini kwenye kutamka kwa mdomo lilete ukakasi? Huoni unajigonga mwenyewe? Mimi naweza kuitwa ''dear'' na mtu yoyote. Nlikuwa nafanya kazi kampuni moja ya wazungu, inayoendeshwa na mtu na mkwewe, na ukifanya kazi nzuri, mkewe anakumbia ''thank you dear''. Mumewe hivyo hivyo. Hili la kusema mshikaji wa kiume akiniita dear kama naona ni sawa, wala halina mjadala kwa sababu nimeshaitwa mara nyingi tu. Naona ukakasi uko kwenye mawazo yako kwa sababu ulishaelewa vibaya maana ya neno ''dear'' tangu ukiwa mdogo hivyo ni vigumu kubadilidha sasa hivi.Kwenye upande wa barua ipo hivyo. Formal letter lazima ianze na dear.
Ila kibongobongo kwenye maongezi ya kawaida inaleta ukakasi.
Kwahiyo wewe mshkaji wako wa kiume akikuita dear utaona sawa? Kama ni sawa tufunge huu uzi kabisa
Haya maneno ni maneno ya kiingereza kutoka utamaduni mwingine na wabongo wameiga na kuyaelewa vinginevyo kabisa. Angekuwa anajua utamaduni wa wazungu angejua kuwa hata wazazi wanaweza kuita watoto wao ''my sweetheart, ''my love'', ''honey''. Wanadhani yanatumika kwa wapenzi wenye uhusiano wa kingono tu. Ni ulimbukeni kama wabongo wengi wanadhani siku ya valentine ni siku ya wapenzi kufanya ngono.Wewe ndiyo una tatizo.