jameson567
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 536
- 3,289
Hahaha.. Sawa dear(mpendwa).Sisi sio waingereza.
Nazungumzia kwenye maongezi ya kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. Sawa dear(mpendwa).Sisi sio waingereza.
Nazungumzia kwenye maongezi ya kawaida
Kwani dear ni neno la kibantu?Waliotuletea wameleta pia na matumizi yake.Waingereza ndio wenye hiyo lugha. Unadai sisi sio Europeans tatizo dear ni neno la kiingereza. Unataka kuleta tafsiri unayoitaka wewe?We are not europens bana sisi waafrika😀.
Kwenye barua ni sawa
Kweli mshamba_hachekwi"dear" ni neno la kistaarabu lenye matumizi mengi.
fungua dictionary uone mkuu.
Sasa neno Dear, na kusagana wapi na wapii? LolKwann wasiseme mpendwa!! Kimsingi haya Mambo ya kusagana huwa yanaanzaga hivyo hivyo!
KwaSasa wanawake wengi wameangukia kwenye kusagana, wengine huwezi kuamini.
Wengi wanakufa na Siri zao moyoni ila kiukweli wanafanya saana
Hivyo ndivyo wanavyoanza, kuitana Dear!!Sasa neno Dear, na kusagana wapi na wapii? Lol
Mkuu kutokwenda shule ni tatizo kubwa sana.Usijali dear, hukuelewa maana zote za dear. Ya kwanza ni mpenzi ya pili ni kwa yeyote unayemheshimu. Hata barua za kikazi hatumjui tunayemtumia ila huandika dear sir/madam
Kuna maneno mazuri zaidi ya hilo mfano my beloved, darling and cherishedKwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada tunaitana sana hivyo.
Cha kushangaza sasa...Unaweza ukawa unawasiliana na mtu/mdada ambae hamfahamiani hata sura, inaweza ikawa kibiasha au kwa sababu nyingine, anakwambia okay dear, yaani dear dear za kutosha. Hili huwa linanishangaza yaani iweje huyu mtu hanijui kuniita dear amewaza nini. Sipendi hii tabia.
Sasa leo mimi nimefiwa na mjomba wangu jamani kwanza nipeni pole maana nina majonzi ya kutosha. Huyu mjomba tumeishi nae kipindi nipo mdogo, so ni mjomba wangu wa karibu sana. Rambi rambi napokea.
Nikapost whatsapp status rest in peace my uncle..kuna dogo mmoja ambaye ni fundi seremala huwa namtumia kunitengenezea baadhi ya kazi zangu akarespond ile status akasema "pole dear". Nimejibu asante lakini nimejiuliza sana huyu dogo vipi kuniita dear wakati hatuna hata mazoea nae zaidi ya kazi mara moja moja kuniita mimi dear. Sijapenda naona kama ni ukosefu wa adabu.
Je nyie wenzangu neno dear mnalitumia kwa watu aina gani? Mimi nalitumia kwa mpenzi na kwa mashosti zangu wa karibu kabisa.
Japo kunawengine tumeshuhudia wameenda shule lakini kichwani hamna kitu ni wavivu wa kufikiriMkuu kutokwenda shule ni tatizo kubwa sana.
Hayo ni mawazo yako tyuuh, wala sio uhalisia. KhaaahHivyo ndivyo wanavyoanza, kuitana Dear!!
Wakija kukutana wanahugiana!
Siku inayofuata wanapigana busy shavuni
Siku inayofuata wanakiss mdomoni
Siku inayofuata Wanakumbatiana na kuanza kuplayiana
Siku inayofuata ni kitandani, na Mambo mengine, mara nyingi huwa wanafanya haya wakilala pamoja.. maana mtu unakuwa huna wasi wasi nao.
Kimsingi wamebeba Siri nyingi sana na vitu vingi sana kweny vichwa vyao