Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

We are not europens bana sisi waafrika😀.
Kwenye barua ni sawa
Kwani dear ni neno la kibantu?Waliotuletea wameleta pia na matumizi yake.Waingereza ndio wenye hiyo lugha. Unadai sisi sio Europeans tatizo dear ni neno la kiingereza. Unataka kuleta tafsiri unayoitaka wewe?
 
Kwann wasiseme mpendwa!! Kimsingi haya Mambo ya kusagana huwa yanaanzaga hivyo hivyo!

KwaSasa wanawake wengi wameangukia kwenye kusagana, wengine huwezi kuamini.

Wengi wanakufa na Siri zao moyoni ila kiukweli wanafanya saana
 
Focus na msiba kwanza,,,,RELAX acha ukoloni mambo Leo,,,, ! Chukulia kawaida,,,, mbn mtu anakuita boss ama tajiri ?
 
Sasa neno Dear, na kusagana wapi na wapii? Lol
Hivyo ndivyo wanavyoanza, kuitana Dear!!

Wakija kukutana wanahugiana!

Siku inayofuata wanapigana busy shavuni

Siku inayofuata wanakiss mdomoni

Siku inayofuata Wanakumbatiana na kuanza kuplayiana

Siku inayofuata ni kitandani, na Mambo mengine, mara nyingi huwa wanafanya haya wakilala pamoja.. maana mtu unakuwa huna wasi wasi nao.

Kimsingi wamebeba Siri nyingi sana na vitu vingi sana kweny vichwa vyao
 
Tunawaita dear wakurugenzi kwenye makampuni katika barua wewe unazungumzia zamani ipi ambayo hilo neno lilikuwa halina maana nzuri achana na dear za kina ZUCHU dear maana yake ni mpendwa katika mazingira mengine
 
Lugha tu gongana. Mbona barua za kikazi huwa tunaandika Dear Sir / Madam
 
Kuna maneno mazuri zaidi ya hilo mfano my beloved, darling and cherished
 
Hayo ni mawazo yako tyuuh, wala sio uhalisia. Khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…