Neno gani ambalo ulishawahi kuambiwa dhahiri likakukatisha tamaa?

Sina hisia hisia na wewe
 
Kuna mbuzi mmoja binti alinikataa baada ya form six kwa sababu yeye amepata Admission ya UDSM, mimi nimepata vyuo vya β€œTanganyika”.

Baada ya kuhitimu UDSM maisha yamemchapa akanitafuta akiniuliza vipi huko bado nahitaji tuwe wote! Nilichomjibu simply β€œendelea na vijana wa mjini achana na mimi mkulima wa mkoani”[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mama huyu mtoto wa kaka yako angekuwa msichana ,sasa hivi angekuwa amesha kuzalia wajukuu wangapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama mtu akajibu kama wawili hivi!!dah,, yaani kwa lugha nyingine ninge kuwa malaya nagawa uroda [emoji56][emoji56] hayo yote kwa kuwa nime kwama life ina nichapa na nina wategemea wao
 
Pole sana!
 
'Usitamani mke wa mtu'.
 
Hongera kwako!
Kwa ujumla hili ni fundisho, haijalishi unaanzia wapi au kwa namba gani, je lengo lako ni kufika wapi?
Inawezekana hukuwa na mtazamo wowote wakati huo, bali ulijiunga ili Uwe shule. Hivyo jamaa kakufungua macho.
Kuna watoto muda huu, hawajui nini cha kufanya kitaaluma, uliyopitia yatafungua macho wengi ambap kwa njia moja au nyingine hawakupitia hatua zilizo wazi za kielimu.
Kuwa waweza kuchukua masomo ya Cheti cha ufundi FTC, ukaenda Diploma, hadi ukajiunga na Faculty of Engineering chuo kikuu ukapata, shahada ya kwanza, ya pili na kuendelea.
 
Pole! Pambana!
 
Mjomba aliniambia masuala ya computer programming yanahitaji aina fulani ya wenye akili na kwamba mimi simo baina yao kwamba siwezi, nitafute shughuli nyepesi.....leo mimi developer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka kumi napiga codes hadi basi na kuachia systems......usikatishwe tamaa na yeyote, pambana.
 
Neno "Sio kirahisi kihivyo kama unavyodhani" nimeambiwa last month..!!
 
Umeeleza mengi mno halafu hujafanya uzi ulichokusudia. Issue ni useme maneno yaliyokukatisha tamaa. Sio porojo nyiiingi halafu unaishia kutoka nje ya mada
 
Miaka hiyo GLF wangu kabla ya kulana alikuja getto kafika chumba kilikuwa kidogo sana so nikawa nina sweat akaniambia " UNATIA HURUMA NIKIKUKUPA WEWE SI UTAKUFA KAMA UMEONA CHUPI TU UNATOKA MAJASHO" Huwezi amini ile siku iliniuma sana ikabidi nihame nitafute chumba kizuri next time alivyo kuja ndo mwisho wa maneno yake ya kebehii na dharauu alinipenda mpaka leo ameolewa ila bado yupo na mimi na anaomba sana nikamchakate.
 
Utaniharibia watoto...... mwanaume mbaya wewe...... Mvuto huna ukiondoa hivo vipesa vyako huna kingine cha kuringia.......
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜† wanawake bhana akija kwa social media wanajidai black men tall mgumu mgumu ni amazing....hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…