Neno gani ambalo ulishawahi kuambiwa dhahiri likakukatisha tamaa?

Wakati huo ukiwa na age ipi?
 
Wewe kufanikiwa hutaweza, halafu imagine ni mtu wako wa karibu sana


Halafu nimeamini saa nyingine chuki huja kwa njia ya utani
Ongezea na 'mazoea mazoea' ya kipuuzi. Hata uongozi, huwezi heshimika ukiwa mtu wa utani utani na mazoea, utaishia kupata kura moja au mbili tu
 
Nilienda ofisi moja enzi hizo nafuga Afro na midevu km yote, niliitwa kwenye interview ila kabla interview nikatambulishwa kwa boss ambae hata chembe ya unywele in short kanyoa upara na ndevu zote kanyoa, aisee alichoniambia niliduwaa aliniambia 'kijana hapa hatuajiri maustaadhi wala marasta man hivyo nenda kanyoe hayo manywele yako yote na hio midevu pia nyoa ndio uje hapa tukufanyie interview', mdogo mdogo nikaondoka Mpaka saloon nikanyofoa nywele zote na udevu wote, niliporudi cha ajabu baada ya interview nikapigwa chini pain
 
Ongezea na 'mazoea mazoea' ya kipuuzi. Hata uongozi, huwezi heshimika ukiwa mtu wa utani utani na mazoea, utaishia kupata kura moja au mbili tu
Kweli kabisa, naunga mkono hii hoja
 
Duuuh! Na maisha yalimchapa hasa au siyo?
 
Chai,hakuna chuo kinapublish watu waliodisco
 
Chai,hakuna chuo kinapublish watu waliodisco
Wee mtoto niheshimu nimezaa na mama yako usidhani humu kilamtu ni mtoto mwenzako... Hushangai zaman NECTA walikua wanatoa matokeo na majina ya watu, lakin sikuhiz nyie mnamaliza form4/6 wanatoa namba zenu tu badala ya jina..? Nimesoma chuo wew ukiwa unachambwa na house girl ndio maana hujui lolote... Next time jifunze kuhoji kiustarabu ujibiwe kistaarabu
 
Pumbavu mzee mzima eti umesoma zamani ila unaandika grammar mbovu kuliko hata house girl wangu.h iyo zamani unayosema majibu yalikuwa kwenye google ni zamani ipi,unajua google imeanza lini,na vyuo vimeanza lini kutumia mitandaokupost matokeo,eti nimesoma zanani,wadabganye wajinga sio mimi,ndio maana kazini kwako walikuona kiazi usikute ni standard seven tu wewe
 
Boss mmoja aliniambia "Chura hufiki mbali" .......
 
Kama mwenzio master J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…