Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Hahahaaaa!! Si ulikuwa unamlilia MO11 usiondoke hadi mwezi uishe.
 
Kwanza nilikata kama vibao vitatu alaf nkamwambia ukiniona kama umeona mzinga wa nyuki.
 
Kiukweli mie sikuwahi kuachana na demu kwa mabango hata tunapotofautiana najikalia kimya ila ndo inakuwa imetoka.
Wote huwa tunawasiliana tena wengi wao tunapigiana simu,tunachati na kufurahi japo wengi wao wameolewa,hata tunapokutana tunakumbushia
 
Mhhh MO11 tangu juzi mkesha wa Sunni hakuonekana.
Nimeamua kuilia Idd Mbweni kwa mchepuko
Kama yuko kwako msalimie sana.
mwambie narudi Iddi 3.
Hata kwangu hayupo. Afadhali tupumue tu, mie narudi july mwishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…