Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Madame B pleaseee! Naomba uni PM.Hutokaa upate tigo tamu kama hii niliyokuwa nakupa.
Fa.la we.....
Naona anaanza kunitumia emoji za kula matapishi yake.
Tigo adimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madame B pleaseee! Naomba uni PM.Hutokaa upate tigo tamu kama hii niliyokuwa nakupa.
Fa.la we.....
Naona anaanza kunitumia emoji za kula matapishi yake.
Tigo adimu.
Mwenza, naona sasa dhambi zitaanza kuhesabiwa kuanzia 0.Tooooba!! Mkwe ndio umefungulia kwa fujo hivyo!!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Daaah!! Bonge la shit umenipa ndugu.Mmesikia tigo basi akili zisharuka.
Lala usubiri pilau la kesho Idd
Ukiona hvo ujue tumechoka kutendwaakili zako unazijua mwenyew
Habari ndo hiyoDaaah!! Bonge la shit umenipa ndugu.
Hahahaaaa!! Si ulikuwa unamlilia MO11 usiondoke hadi mwezi uishe.Aisee mpaka nakutamani.
Wangu kila nikigeuka, huyu hapa makalioni.
Mpaka najiuliza si akalie Idd kwao?
Mie nimekataa kwenda ukweni....na yeye eti amekataa.
Yaani katibua kila kitu....nilipanga bonge la dili na mchepuko, naona anataka kunizidi akili.
Ila mwanamke ni mwanamke....acha nimfurahishe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilimwambia UTANIHESHIM SIKU NITAKAPO PATA KAZI,mpaka Leo bado sijapata kazi!!sasa cjui bado ananidharau??!!
Jaza ujazweHutokaa upate tigo tamu kama hii niliyokuwa nakupa.
Fa.la we.....
Naona anaanza kunitumia emoji za kula matapishi yake.
Tigo adimu.
Ngoja waje walioachwa
Nimekaa siti ya mbele kusikiliza
Ndio....Jaza ujazwe
Kuwasamehe walio kukosea ni sawa na kuwapa nafasi nyingine ya kuuliza moyo wako,Nilimtakia kila la heri na sasa anajuta anataka turudiane ila daaah mimi sihitaji mapenzi
Siwezi kurudia makosa aisee kwanza najuta kwanini nilimpenda sasa nimefanikiwa kumsahau anataka kurudi kuniumizaKuwasamehe walio kukosea ni sawa na kuwapa nafasi nyingine ya kuuliza moyo wako,
I,me and my self, huwa sisamehi
Mkuu kaza buti
Move on, tena asikuzoee, hao wakuumiza nafsi zetu wapo sana afu baadae wanajifanya kulia kuliaSiwezi kurudia makosa aisee kwanza najuta kwanini nilimpenda sasa nimefanikiwa kumsahau anataka kurudi kuniumiza