Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Aisee mpaka nakutamani.
Wangu kila nikigeuka, huyu hapa makalioni.
Mpaka najiuliza si akalie Idd kwao?
Mie nimekataa kwenda ukweni....na yeye eti amekataa.
Yaani katibua kila kitu....nilipanga bonge la dili na mchepuko, naona anataka kunizidi akili.
Ila mwanamke ni mwanamke....acha nimfurahishe.
Hahahaaaa!! Si ulikuwa unamlilia MO11 usiondoke hadi mwezi uishe.
 
Kwanza nilikata kama vibao vitatu alaf nkamwambia ukiniona kama umeona mzinga wa nyuki.
 
Kiukweli mie sikuwahi kuachana na demu kwa mabango hata tunapotofautiana najikalia kimya ila ndo inakuwa imetoka.
Wote huwa tunawasiliana tena wengi wao tunapigiana simu,tunachati na kufurahi japo wengi wao wameolewa,hata tunapokutana tunakumbushia
 
Mhhh MO11 tangu juzi mkesha wa Sunni hakuonekana.
Nimeamua kuilia Idd Mbweni kwa mchepuko
Kama yuko kwako msalimie sana.
mwambie narudi Iddi 3.
Hata kwangu hayupo. Afadhali tupumue tu, mie narudi july mwishoni.
 
Back
Top Bottom