Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Mi nilimwacha nikamwambia my heart has failed to love you, I am sorry....

Tumekutana tena baada ya miaka 6 kupita, nikampenda sana lakini sasa naye ameniacha tena dizain ya kulipiza kisasi huku akijua nampenda sanaa

Kwa iyo nimeopt kubakia kimya

Tym hii ninapoandika comment hii kidonda ndo kimeanza kukauka
Mjinga sana
 
Nilimwambia unajeuri kwasababu chuchu zimesimama ngoja zilale utajua wanaume ni watu gani!!maana ata bibi yako alikuwa na chuchu sa sita na ni mwanamke ila jiulize kwanini atongozwi.
noooooomaaaaaaaa saaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaa
 
Mi nilimwacha nikamwambia my heart has failed to love you, I am sorry....

Tumekutana tena baada ya miaka 6 kupita, nikampenda sana lakini sasa naye ameniacha tena dizain ya kulipiza kisasi huku akijua nampenda sanaa

Kwa iyo nimeopt kubakia kimya

Tym hii ninapoandika comment hii kidonda ndo kimeanza kukauka
Safi sana utarudiaje matapishi
 
Nimechapa lapa kimya kimya hata haina haja ya kuanza kujisemeza sikutaki tumeachana huu muda sina
 
Me ntamwambia yaani nilikuwa nakuvumilia tu, siku ukisikia tangazo wanaume watoke mbele wale usijitie aibu tulia ulipokaa usiende popote (nampa na msonyo wa harmorappa)
 
Leo unanikataa sababu sina kitu,lakin nakuhakikishia ipo siku historia itakuhukumu na kunikumbuka kwa yte... Baada ya miaka saba nauwezo wa kununua gar nalopenda,nasafiri napotaka na nakula nachopenda,yy kabaki kule kule kwa wahind mpka sasa bahat nzur mama yake ana mlaumu kila mara kwa nn aliniacha,napomuumiza zaid mke wngu anampenda mwanae sana bas inamkondesha mpka leo
Kumbe na mm itawezekana mkuu
 
Dadeki mm nilitukanwa matusi hadi nikajiona msukule
Ila nilimuaidi kuna siku nitakuwa tajiri
Nilimuambia namchukia na ni adui yangu
 
Mimi enzi za kuacha, nilikuwa namtongoza RFK ake au Jiran yake then namtumia picha au kumwonyesha niko naye mwingine alafu mkali zaid yake
Wengine natulia tu, wengi huwa wananitafuta angalau kwa msg au cm, nikisafir mkoa flan nikashikwa barid hotelin namtafuta maana nilikuwaga na mabinti krb kila mkoa
Hadi demu Wang wa kwanza nikiwa mkoa wa barid, a lvl bado tunawasiliana vzr mara moja moja kwa kushauriana
 
Back
Top Bottom