Aqua Man
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 336
- 1,144
Mjinga sanaMi nilimwacha nikamwambia my heart has failed to love you, I am sorry....
Tumekutana tena baada ya miaka 6 kupita, nikampenda sana lakini sasa naye ameniacha tena dizain ya kulipiza kisasi huku akijua nampenda sanaa
Kwa iyo nimeopt kubakia kimya
Tym hii ninapoandika comment hii kidonda ndo kimeanza kukauka