Neno "HAPA KAZI TU" Layeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
 
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?
MATAGA ni hopeless kabisa. Wengi walikuwa waganga njaa wasioamini hata katika slogan yenyewe.

Pia hii slogan imeumiza wengi. Watu walifanyiwa maovu na wakiuliza walikuwa wakijibiwa "Hapa Kazi tu". Tunashukuru hii slogan imejifia kifo cha mende. NEVER AND NEVER AGAIN
 
MATAGA sasa hivi wanauguza shingo na koo zao kwa kuimba mapambio miaka 5 mfululizo.
omgvoiceghana_20210318_214446_0.jpg

Wengine kina Magonjwa Mtambuka tokea posho za bando zimekatwa na Mama Samia, hawaonekani JF.
 
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
Rubbish, ninyi slogan zenu ni kama mvuke. Hazijawahi kuwa na impact yeyote chanya sio kwenye wenyewe au kwa taifa.
 
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
Acha wivu bado lipo kwenye matukio barabara,stendi,elimu.....
narudia tena yani kama akili zenu ndio hizi....
mtabaki kuwa wapinzani uchwara milele....
muulize Mbowe nyie kauli mbiu yenu ni ipi?
mnachekesha kweli nyie
 
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
Imekufa vipi wakati kazi inaendelea
 
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo

Neno "HAPA KAZI TU" lilitokana na CCM au JPM?​

Back
Top Bottom