mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Mama alisema kuwa kuanzia sasa ni KAZI IENDELEE, sasa nimeshajua tabia za Watanzania.Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO?
Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo