Mama alisema kuwa kuanzia sasa ni KAZI IENDELEE, sasa nimeshajua tabia za Watanzania.Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO?
Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
naikumbuka ile ya MabadilikoooSijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO?
Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO?
Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
Haihusianinaikumbuka ile ya Mabadilikooo
peoplezzz!Haihusiani
Hii inakufaje ?peoplezzz!
naona hili limekufa kabla hamjafiwa
imekufa kifo cha MendeHii inakufaje ?