Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...
Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi.
Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo yafanyike hivi ila wewe unafanya kinyume chake kwa makusudi.
Kwa mfano taasisi x utaratibu wa maisha ya wanachama wake Lazima kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, lakini wewe unaanza kuvaa mguu wa kushoto kwa kujua kabisa ni makosa, lakini kwa jeuri na kiburi cha skio la kufa wewe hujali na unakiuka utaratibu.
Nenda unako enda, kiuka utaratibu, mila desturi na utamaduni wa taasisi hiyo, you will not survive completely...
Kizuri ni kwamba unaweza kua huru na mwenye haki, ukuamua kujiondoa kwa hiari yako na kujiunga na taasisi nyingine ikiwa unahisi hupendezwi na mambo ya kuanza kuvaa viatu mguu wa kulia, hali ya kua wewe unapendelea kuanzia mguu wa kushoto. Toka kwa amani, na uende kwa uhuru tafadhali..
Ni lazima na muhimu sana uendako kuzingatia kanuni, taratibu, miongozo na sheria za taasisi husika, kwa kufanya kazi kama timu moja bila kuathiri misingi ya taasisi yenyewe, mila, desturi na utamaduni wa mtindo wa maisha ya taasisi hiyo.
Vinginevyo huwezi kudumu popote utakako kwendra, kwa kuishi kwa tabia na majivuno yako yenye ujuaji mwingi hali ya kua mbele kiza...
Mwanzo wa mwisho wako CCM uliuanza mwenyewe kwa hasira na chuki za kutemwa barazani, na una uhitimisha mwenyewe kwa kishindo, cha kusingizia watu vitu visivyo na uhakika wowote.
Kwa kukubali kurubuniwa kwa kulamba asali na kuufanya uongo kua kweli, kwa tamaa ya fedha na mali, za wahujumu uchumi, waliokusudia kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa, uzalendo wako ni wa mashaka sana.
Na katika muda usio kua mrefu utaondoka ccm, utaondoshwa au utabanduliwa rasmi CCM bila wasi wasi wowote.
Na walio nyuma ya jeuri na kiburi yako hiyo unayoonyesha kwa chama na serikali sikivu ya CCM, watabainishwa bayana na kuanza kutajana rasmi kwa majina yao, moja baada ya mwingine.
Kiufupi huna tena maisha wala uhai wa uanachama CCM. na hata ukiachwa huta kua na furaha wala amani ndani ya chama kwa heshma na ustaarabu ondoka CCM.
Utakapojikuta umeshiwa nguvu na ushawishi kisiasa, ujue sasa ni rasmi uko nje ya CCM, na hizo ndizo miongoni mwa athari utakazo kutana nazo ukiwa upinzani.
Lakini pia, nguvu ya utamu wa sukari ya makampuni ya sukari uliyolambishwa itakapokua imeisha ladha mdomoni kwako, vile vile utaanza kubaini kwamba uzushi unaweza kukusababishia uchungu wewe mwenyewe na kuathiri maisha ya kisiasa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania