Pre GE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndio hivyo ,tunaangaika na dagaa huku ma Big shark 🦈 yakila maisha bila ata ukofi.
komaa nayo kwa bidii sana, ila kihalali utatoboa gentleman πŸ’

ila ukitaka njia ya mkato, jiandae kula maparachichi mabichi tutakayo kukamata nayo umeiba kwenye bidii za jasho la mikono yetu 🀣
 
unanieleza ama unanishauri mimi ninachokijua tayari gentleman? 🀣

huo ni ushauri wangu kwa mkalia kuti kavu, mzushi, muongo na mpotoshaji wa Kisesa, au unataka kusemaje mkuu πŸ’
Hoja yako ya msingi imejengwa katika umasikini wa fikra.

Kama hoja ya utamaduni ingekuwa na mashiko, tusingehitaji Bunge la kubadili sheria, tungesema tu twende na sheria zilizozoeleka kwenye utamaduni wetu bila ya kuzibadilisha.

Yani rationale nzima ya bunge ni kujiongeza kwa kubadili sheria bila kujali utamaduni, utajengaje hoja ya kumzuia mbunge kusema kwa sababu ya utamaduni? Vipi kama huo utamaduni ni mbovu na unatakiwa kuachwa?
 
nimefurahi sana kwa recognition yako kwangu kwamba mimi ni maskini wa fikra πŸ’
utambuzi wako huo muhimu sana naupokea kwa mikoni miwili kabisa, na kwakweli nitafanya bidii sana kutoka kwenye hali hiyo ya fedheha, na namuamba Mungu akinifanikisha , anikumbushe kukupa feedback kwamba sasa ninawaza kitajiri, ama unaonaje hiyo tajiri wangu wa fikra?πŸ’

utamaduni sio mama mzazi, unaweza badilishwa tu kama ilivyo katiba πŸ’

ni aibu, unyonge na fedheha kwamba miongoni mwa wabunge zaidi ya mia4 uko na mtazamo na uzushi wako mwenyewe kila moja anakuogopa kama ukoma, huna amani, huna Furaha, unajihisi kutengwa, dah!

saa zinngine ndio maana kuna wengine wana hisi unaweza kua mshirikina maana dah, sio kwa ukomaaji huu wa kuhakikisha uongo unakua ukweli!πŸ’

au amelipwa bei gani na sugar companies wazee?

πŸ’
 
Sijafika hata kwa Mbunge kama yuko sawa au kakosea, ila hoja yako ya kumpinga imejengwa katika logical fallacy na hivyo haina mashiko.
 
Acha uizi ili usiitwe mwizi Kama utashindwa kufanya hivyo usichukie watu waki kuita mwizi kwani hiyo ndiyo tabia yako

Hivi ukimya wa watanzania huwa mnaujadili vipi kwenye mipango yenu ya kuiba?

Je huwa mna wa weka kwenye kundigani Kati ya hata?

A)wajinga?

B)wapumbavu?
 
Sijafika hata kwa Mbunge kama yuko sawa au kakosea, ila hoja yako ya kumpinga imejengwa katika logical fallacy na hivyo haina mashiko.
Yes,
inaweza kua haina mashiko kulingana na uelewa na ufahamu wako na wengineo ambao ni mdogo kwenye mambo haya. na hiyo sio dhambi, ni kawaaida tu,

ila hii itabaki kua ni miongoni mwa hoja muhimu na ya maana sana kisiasa kwa mustakabali mwema wa Chama imara na serikali sikivu ya CCM πŸ’
 
Gentleman,
naona uko kwenye mazoezi ya kutafuta mihemko ili uanze kuporomosha matusi...

wajinga na wapumbavu waliisha Tz,
hivi sasa tunadeal na wabuni uongo na uzushi dhidi ya wenzao, kwa kufadhiliwa na sugar companies kwa pesa kidogo, ili wakomae kusema uongo kua ukweli 🀣
 
Ludini bungeni mka thibitshe huo uongo wake na shahidi za pesa za fadhila za hizo sugar companies

Kama alivyo fanya yeye kwa ushahidi
 
Ludini bungeni mka uthibitshe huo uongo wake na shahidi za pesa za fadhila za hizo sugar companies Kama alivyo Tanya yeye
vichwa zaidi ya mia4 haviwez kubabaika wala kupoteza muda na mzushi au muongo moja, mjeuri mwenye kiburi, chuki binafsi na hasira za kutemwa kwenye baraza la mawaziri, kwasabb ya upikaji data wake wa uongo πŸ’
 
vichwa zaidi ya mia4 haviwez kubabaika wala kupoteza muda na mzushi au muongo moja, mjeuri mwenye kiburi, chuki binafsi na hasira za kutemwa kwenye baraza la mawaziri, kwasabb ya upikaji data wake wa uongo πŸ’
Na daima kilicho sahihi huwa kimoja kwenye vingi mnaweza mkawa 400 lakini mtu sahihi ni mmoja

lakini mka tumia wingi wenu kuufunika usahihi wa mtu mmoja na mka kubalika kwa sababu ya wingi wenu

na mamlaka zenu zika ufunika uovu wenu kwa mda
 
Na daima kilicho sahihi huwa kimoja kwenye vingi mnaweza mkawa 400 lakini mtu sahihi ni mmoja

lakini mka tumia wingi wenu kuufunika usahihi wa mtu mmoja na mka kubalika kwa sababu ya wingi wenu

na mamlaka zenu zika ufunika uovu wenu kwa mda
na ndio maana Rais sahihi ni moja, na 2025 tunakwenda nae tena ngwe ya pili bila mbambamba yoyote πŸ’

na huyo mzushi na muongo ambae mnamuona ndie sahihi tumemshauri ajiunge na nyinyi, sio kwa ubaya lakini, ili apotoshe wengine wa huko na kuzalisha wazushi na waongo wengi zaidi,au sio gentleman? si mumpatie nafasi ndugu yenu muongo 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…