Neno 'Mhudumu' lasababisha kifo cha mmiliki wa baa

Njombe ni miongoni mwa mikoa yenye matukio mengi ya mauaji nchini. Hata hivyo, matukio mengi yanahusishwa na imani za kishirikiana na wivu wa mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaitwa pre-meditated homicide
 
Kulikuwa na kitu baina yao.
Neno mhudumu lilikuwa ni sababu iliyotafutwa ili achukie
 
Huyo marehemu hakuwa anajua maana ya kuwa na biashara,ukiwa na biashara na watu wamekuja unakuwa mjini kwa kuitwa jina lolote cha msingi ni hela analipa.......vifo vingine ni vya kijinga sana

Kuna kitu, namfahamu vizuri marehemu, hata mimi niliwahi kumwambia β€œwewe mhudumu niletee ……….” Akanihidumia.
Nahisi kuna kitu nyuma ya pazia. Again RIP my friend
 
Bush lawyer ume zunguka sana kwa izo facts iyo ni murder directly. sioni akichomoka kwa defence yoyote ata kama alikua kalewa

Cc Saidi Mwamwindi v. R, Cr. Sass 37-Iringa- 72,(1972
 
Mzee ina depend na kisu aina gan na kina urefu gani
Mara nyingi ukichomwa kisu kwa hasira tumboni kupona ni majaliwa
 
Baba tupe darasa
 
View attachment 2821522

Most likely kilitua kwenye nini hapo?
Postmortem report ingeeleza zaidi. Ila hii uliyotuma ni illustration ya system moja tu yaani digestive system wakati eneo zima la tumboni kuna organs nyingi zaidi ya hizo. Lakini in general vifo vingi vya kuchomwa kisu tumboni hutokana na kutoka damu nyingi plus hakuna huduma ya kwanza na mgonjwa kucheleweshwa kufikishwa hospitali.
 
Uko sahihi kabisa. Nilikuwa najaribu kuonesha internal organs kwenye "tumbo" kama alivyosema mdau mmoja kuwa ukichomwa kisu tumboni kuna organs nyingi hivyo uwezekano wa kupona ni mdogo. Definitely ukiumiza figo moja huwezi kufa. Utakufa kwa kuvuja damu nyingi bila first aid ya kuzuia damu isiishe.

You are correct!
 
Tale ni baa ya kihistoria, baa inazaidi ya miaka 20 ile,sasa mmiliki awe na miaka 35 naona hapo kuna shida mahali either mtoa taarifa au mleta taarifa, labda useme meneja wa bar.

Kingine walikosea kwenda hospitali ya wilaya kibena usiku wakati kwa kesi hiyo alibidi apelekwe moja kwa moja hospitali ya mkoa ambako laparatomy ingefanyika upesi, kupeleka ya wilaya walipoteza muda muhimu sana, ukizingatia hospitali ya wilaya iko mbali zaidi ya hospitali ya mkoa yenye emergency department iliyo active, shida ya ndugu zangu wale mpaka waje waizoee ile ya mkoa sijui itakuwa mwaka gani, pia wananchi waelekezwe case ipi iwe inawahishwa kwenye hospitali ya aina gani.
 

Tale Tale baa yangu hiyo , hatari sana, nimekula bata sana hapo, na warembo kibao,, girafe itazidi kuwa juu
Marehemu ndio mmiliki wa Westgate ya Sumbawanga tutamkumbuka sana Ras alikuwa mtu mpole sana baada ya Simba kupigwa Kono la Nyani kila mteja alieingia kwenye bar yake(Westgate) alikuwa anapewa beer moja ofa ya kusherehekea ushindi R.I.P Ras mbele yako nyuma yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…