Prosperity96
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 293
- 320
Uko sahihi lakini pia umbali wa vituo vya afya navyo ni tatizoSijajua kwanin hapa nchini kwetu mtu akichimwa kisu cha tumbo kupona ni 30% au hawez kupona kbsa hta akiwahishwa hospital.. nmesikia vifo vingi san vya namna hii, nahisi madaktar wetu hawan ujuzi na hizi ajali kulinganisha na nchi zingine kupona ni 70%