Tale ni baa ya kihistoria, baa inazaidi ya miaka 20 ile,sasa mmiliki awe na miaka 35 naona hapo kuna shida mahali either mtoa taarifa au mleta taarifa, labda useme meneja wa bar.
Kingine walikosea kwenda hospitali ya wilaya kibena usiku wakati kwa kesi hiyo alibidi apelekwe moja kwa moja hospitali ya mkoa ambako laparatomy ingefanyika upesi, kupeleka ya wilaya walipoteza muda muhimu sana, ukizingatia hospitali ya wilaya iko mbali zaidi ya hospitali ya mkoa yenye emergency department iliyo active, shida ya ndugu zangu wale mpaka waje waizoee ile ya mkoa sijui itakuwa mwaka gani, pia wananchi waelekezwe case ipi iwe inawahishwa kwenye hospitali ya aina gani.