Neno 'Mhudumu' lasababisha kifo cha mmiliki wa baa

Neno 'Mhudumu' lasababisha kifo cha mmiliki wa baa

Afisa mauzo sio muhudumu, afisa mauzo ni yule anayeshawishi kuuzwa kwa bidhaa ambapo kwa bar hakuna hicho kitengo kwa sababu bar tunaenda wenyewe tunakuta viti, wahudumu na vinywaji kisha tunaita wahudumu tunawaagiza gambe. Mhudumu ni mtu atoaje huduma sasa wewe ni mmiliki wa bar umetuwekea huduma ya vinywaji unakaataje tukikuita mhudumu?
Kazingua kusema ukweli alitaka aitwe manager, majitu ya bush yanakuaga magumu kuelewa, tukiwaambia wanakuaga wakali sana, yan unaweza ukaenda kitambaa sinza ukamkuta jesca kakaa na wahuni na wanamshika tako na anatulia na huyu ni mmiliki wa kitambaa cheupe sinza, siku nipo na mwamba tabata anamvizia jesca akamle kwenye gari yake ile klugger kipindi kile sasa huyu wa njombe sijui kakasirika nini, kumiliki sehemu ya walevi kuenjoy kubali yote hata wakikushika tako jifanye hujui walevi wanakuaga washenz washenzi, unakuwa bar maid unaogopa kuchezewa kissmi mbona hizo ndio compimentary za kazi ? Amezingua siku moja small planet sinza nimemwona muhudumu wa kiume wahuni wanamwita zuchu na anafurahia tu, mambo ya kukaaga njombe miaka yote hamji dar es salaam madhara yake ndio hayo, MA Zuchu wakubwa nyie…
 
Alitaka aitwe boss, tajiri mtoto
 
Yani unamiliki Bar unaitwa muhudumu na una panic mpaka kufa kiboya, wengine tunaitwa matako,mavuzi ,mnyeo ,umbwa na Bado tunasongesha siku ...ifike hatua uwe na uwezo wa kupotezea mambo hata kama yanakukera
 
Sahihi kabisa, me kwenye biashara zangu naitwa Dogo mara mwingine aniambie boss wako yuko wapi basi tafrani ila yote kutokana na kuwa na umbo dogo halafu sura ya kitoto, mtu nikimwambia ataje umri wangu lazima ataje miaka 10 nyuma.
Unaona ? Lakin mambo yako yanaenda ila watu wa bush wanapenda sana recognition sijui kwanini ? Wakati town dotto magari anaonekana ana hela alafu mo dewji anaonekana chawa yan tafrani alooh yan mwenye hela anaonekana hana, alafu kapuku ndio anajiita flensa aisee ila mjini ni tafran jamaangu. Mkuu hata wakuite dogo mara mia we wasikilize tu alafu wakaushie hakunaga noma kama mambo yako yanaendaa, we wakaushie tu
 
Ni ujinga wa hali ya juu kukasirika kwa sababu umeitwa mhudumu. Hii inaonyesha jamaa alikuwa na ubongo dhaifu sana. Tena bar yako!
Uchakataji wa taarifa na kutoa maamuzi unategemea mtu na mtu.
Ni sawa na mtu akimfuma mke wake akimsaliti. Mwingine atamuua mwanamke, mwingine atampinga, mwingine atamuua huyo mwanaume au kumfanyia jambo baya.
Ila maamuzi yaliyo sahihi. Hutakiwi urushe hata kibao kimoja kwa hao watu kwasababu kama watu wamekutana wakiwa na akili timamu, wakaelewana na kulala pamoja kwa maana hiyo wewe hapo hauna chako unatakiwa
1. Msamehe mkeo muendelee na ndoa
2. Au muachane.
 
Pia: leo unaweza kuitwa eg shoga na ukabaki kucheka, na kesho yake ukaitwa hivyo hivyo na ukaua. Haya makitu yanategemea mambo mengi sana. Kuanzia maisha yako kiuchumi, mood ya siku husika, ni wa kina nani wapo kwenye tukio, aliyekutukana ni nani, etc....
 
Kwako siyo tusi ila kwa wengine ni tusi kwahiyo ni kuwa makini sana unachotamka.
Tusi siyo mpaka litaje viungo vya mwili wa binadamu.
Kwa watu wasiokuwa na akili neno lolote kwao linaweza kuwa tusi, unaweza ukamuamkia tayari akaona ni tusi
 
MMILIKI wa baa ya Tale mjini Njombe, Jackson Mgeni (35), mkazi wa Mji Mwema mjini hapa, amefariki dunia kutokana na kuchomwa kisu tumboni na anayedaiwa mteja wake, Emmanuel Shiwa (32).

Mfanyabiashara wa madini na mkazi wa eneo la Uwanja wa Ndege mjini Njombe, anadaiwa kutenda ukatili huo baada ya kutokea ugomvi kati yao alipomwita Mgeni, akitumia neno 'mhudumu'.

Ni tukio hilo lilitokea Novemba jana saa nane usiku katika baa hiyo ya mjini Njombe.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi Mahamoud Banga alithibitisha kutokea kwa tukio hilo. Alisema mtuhumiwa ni mteja mzoefu katika baa hiyo.

"Katika hali ya kupata huduma, mtuhumiwa alimwita Mgeni kwa jina la mhudumu. Sasa kile kitendo cha kuitwa mhudumu, ninafikiri kilimuudhi.

"Akaanza kugombana na yule mteja na yule mteja ninafikiri aliona hatoweza kupigana naye kawaida. Hivyo alitoka nje," alisema Kamanda Banga.

Aliendelea kusimulia, akisema: "Mtuhumiwa huyo baada ya kutoka nje alipanda gari lake, akaenda nyumbani kwake.

"Mashuhuda wanasema ni maeneo ya Uwanja wa Ndege, lakini baada ya muda alirudi na kisu na kumvizia yule jamaa na kumchoma nacho tumboni."

Kamanda Banga alisema kuwa baada ya kufanya tukio hilo, wananchi ambao ni wateja wa baa hiyo walikuwapo eneo la tukio, walimdhibiti mtuhumiwa na kutoa taarifa kituo cha polisi.

"Polisi walifika na kumkamata, majeruhi alikimbizwa Hospitali ya Halmashauri ya Mji Njombe (Kibena), lakini kabla ya kuanza kupatiwa matibabu alifariki (dunia)," alisema Kamanda Banga.

Njombe ni miongoni mwa mikoa yenye matukio mengi ya mauaji nchini. Hata hivyo, matukio mengi yanahusishwa na imani za kishirikiana na wivu wa mapenzi.
Yaani unaenda kuozea jela kwa kitu cha kijinga hivyo? Pombe sio chai
 
Back
Top Bottom