GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mjanja mjanja, mwongo mwongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio inavyokuaga hivyoKwishaaa!!; Hao wa kujibanza wanakuaga na mbwembwe acha!
Jamaangu Moja tulitoka wote sehem Moja kufika dar kila mtu akafikia kwa mwenyeji wake, mi nlifikia kwa marafiki nliosoma nao yy akaenda Kwa ndugu zake Kwa kiasi flan Ile familia hela zipo rafiki hata lengo lililotuleta aliacha saiv daily kuweka status wanapokua viwanja 😁😁 tukipiga story kwangu 50k ni kubwa lkn kwake 100k anaona kama jero tu
Kufaidi au kutofaidi hiyo ni yeye! tunatofautiana kimtazamo mimi siwezi kujigamba kwa msaada wa ndugu wenye mshiko!Kwahiyo unataka kusema anafaid mema ya familia
Mtu mwizi, mvivu na mbabaishaji .Morng Africa
Ukilisikia neno mswahili kwako unapata maana gani yaani ukisikia mtu anaitwa mswahili ni picha gani inakujia juu ya mtu alie itwa mswahili
Kwenye uvivu hapo mia kwa mia kabisaMtu mwizi, mvivu na mbabaishaji .
Acha kujifarijiMti wenye matunda ndiyo unaopopolewa.
Mswwahili uyoKufaidi au kutofaidi hiyo ni yeye! tunatofautiana kimtazamo mimi siwezi kujigamba kwa msaada wa ndugu wenye mshiko!
Kama kuna connection naweza pata kupitia wao au kuna namna watanisaidia kurahisisha njia za kupita aiseee mi mapema sana ntafanya mazingira na ntatoboa
Sure mkuu mtu muongo ni mswahiliInategemea
Ila kwa wengi ukisikia jamaa mswahili sana, basi ni muongo, tapeli
ongo muongo ila mtu muongo jauMjanja mjanja, mwongo mwongo.
😂😂😂 majungu ni mtajimswahili ni mtu anaejifanya anajua kumbe hajui starehe anapenda na pesa hana kwasabu pesa hana basi starehe yake kubwa ni ngono ataoa wake wengi au ataoa nakuacha watoto huduma zero
anauwivu na majungu kwa aliefanikiwa wengi wao elimu hawana
😂😂😂😂 kagoma kukutimizia alicho ahid nini umeongea kwa hasira leoMwenye maneno mengi kisha utekelezaji 0 na ahadi hatimizi😊👋
Umenikumbusha awamu ya Pili na ya SitaMwenye maneno mengi kisha utekelezaji 0 na ahadi hatimizi😊👋
🤣🤣🤣🤣😔😔👋👋👋😂😂😂😂 kagoma kukutimizia alicho ahid nini umeongea kwa hasira leo
Ka nyakati hizi mswahili nikamaMorng Africa
Ukilisikia neno mswahili kwako unapata maana gani yaani ukisikia mtu anaitwa mswahili ni picha gani inakujia juu ya mtu alie itwa mswahili
Ka nyakati hizi mswahili nikama
MCHAWI,MSHIRIKINA.
Mjanjamjanja.🔨🔨🔨🤣🤣🤣👋👋👋
Ahahahahaha mchawi kuna wachawi wakishua bhnaKa nyakati hizi mswahili nikama
MCHAWI,MSHIRIKINA.
Mjanjamjanja.