Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Hayo mawazo ni potofu mkuuMimi ukiniambia hilo neno najua unataka tufanye matusi
Mbona unaguna dada shun ?
Sasa kama hataki tufanye matusi si ampende maiko jackson tuHayo mawazo ni potofu mkuu
Mm bwana mtu ambaye sio mpenzi wangu akiniambia ananipenda namjibu tu vizuri asante sana kaka ubarikiwe mno kwa kunipenda basiMbona unaguna dada shun ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ukiniambia hilo neno najua unataka tufanye matusi
Mpenz wako wa zamani amewahi kukwambia I LOVE YOU miaka michache baada ya kuachana ?Mm bwana mtu ambaye sio mpenzi wangu akiniambia ananipenda namjibu tu vizuri asante sana kaka ubarikiwe mno kwa kunipenda basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna tatizo lolote ukimpenda binadamu mwenzako hasa wa jinsia nyimgine bila kuingiza hisia za mapenzi ?Sasa kama hataki tufanye matusi si ampende maiko jackson tu
Kuna tatizo lolote ukimpenda binadamu mwenzako hasa wa jinsia nyimgine bila kuingiza hisia za mapenzi ?
Wew kweli mnyama.Atanipenda mama,mwanangu au dada yangu kama haupo kati ya hao ukinipenda ina maana unaweza kunipa papa
Dah mkuu mm tukiachana tumeachana hata hiyo nafasi ya kuniambia hivyo hawezi pata kabisa huwa tukiachana na kuhesabia kama ni marehemu umeshakufaMpenz wako wa zamani amewahi kukwambia I LOVE YOU miaka michache baada ya kuachana ?
Hio haimfanyi yeye hasikutafute pale atakapokuhitajiDah mkuu mm tukiachana tumeachana hata hiyo nafasi ya kuniambia hivyo hawezi pata kabisa huwa tukiachana na kuhesabia kama ni marehemu umeshakufa
Atanitafutia wapii na aniitaje kwa lipiii mm na yeye tulishamalizana kila mtu apambane na hali yake kwani mkuu unataka kurudiana na x wako yaani sikuelewi elewiHio haimfanyi yeye hasikutafute pale atakapokuhitaji
NoooAtanitafutia wapii na aniitaje kwa lipiii mm na yeye tulishamalizana kila mtu apambane na hali yake kwani mkuu unataka kurudiana na x wako yaani sikuelewi elewi