Neno NAKUPENDA huwa unalitafsiri vipi ?

Neno NAKUPENDA huwa unalitafsiri vipi ?

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Wakuu habari za huko uliko.

Kuna hili suala linanipa utata kidogo. Naamini wengi tuna wapenzi au wenza wa maisha. Na wengine ambao wapo solo waliwahi kuwa kwenye mahusiano wakati fulani.
Katika harakati za mahusiano ni jambo la kawaida mpenzi mmoja kumwambia mwenzake NAKUPENDA au mke kumwambia mumewe NAKUPENDA.

Mara nyingi mtu anapoambiwa neno NAKUPENDA na mtu ambaye hana uhusiano nae wa kimapenzi huwa anaona ni jambo lisilo la kawaida.

Je wewe mwana jf umewahi kuambiwa NAKUPENDA na mtu hasiye mpenzi wako ?
na upi ulikuwa muitikio wako baada ya kuambiwa neno hilo.
karibuni tu chit chat.
 
Mm bwana mtu ambaye sio mpenzi wangu akiniambia ananipenda namjibu tu vizuri asante sana kaka ubarikiwe mno kwa kunipenda basi
Mpenz wako wa zamani amewahi kukwambia I LOVE YOU miaka michache baada ya kuachana ?
 
Mpenz wako wa zamani amewahi kukwambia I LOVE YOU miaka michache baada ya kuachana ?
Dah mkuu mm tukiachana tumeachana hata hiyo nafasi ya kuniambia hivyo hawezi pata kabisa huwa tukiachana na kuhesabia kama ni marehemu umeshakufa
 
Dah mkuu mm tukiachana tumeachana hata hiyo nafasi ya kuniambia hivyo hawezi pata kabisa huwa tukiachana na kuhesabia kama ni marehemu umeshakufa
Hio haimfanyi yeye hasikutafute pale atakapokuhitaji
 
Hio haimfanyi yeye hasikutafute pale atakapokuhitaji
Atanitafutia wapii na aniitaje kwa lipiii mm na yeye tulishamalizana kila mtu apambane na hali yake kwani mkuu unataka kurudiana na x wako yaani sikuelewi elewi
 
Atanitafutia wapii na aniitaje kwa lipiii mm na yeye tulishamalizana kila mtu apambane na hali yake kwani mkuu unataka kurudiana na x wako yaani sikuelewi elewi
Nooo

Nachomaanisha wewe unaweza ukawa ume move on lakini yeye akakutafuta na akakwambia I LOVE YOU. Kuna tatizo hapo ?
 
Back
Top Bottom