MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kizulu hikiNakukunda
Kanyor AlengSemaNAKUPENDA kwa kilugha chenu.
Ukipata wakwenu mfate PM mkatambe huko.
Nipo hapa nasubiri wa lugha yangu nimfate pm, sitaitaja hapa lugha yangu ila mtu akiipatia basi nitamfuata pm tugonganishe kilugha kama vile tupo uchagani ama upareni ama kule kwa wagosi.
Karibuni.
Wagonjwa unawahudumia kweli au DR ya mchomgo?Aanyor oleng mamayai nailibilib ingulak.
Dogo mbona umepotea sana hapa JfNakukunda