Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Kwangu hilo ndilo neno ninalopenda kumwambia zaidi kaka mzuri wangu, siwezi kumtumia texts tatu bila kumwambia nampenda.
Same kwake, umegeuka utaratibu wetu na kiukweli ndilo neno napenda kusikia kutoka kwake.

Nyie wenzetu vipi? Asiponiambia ananipenda sina raha.
Yani wew ni mm kabisa 😀 😀
Napenda sana ilo neno kiukweli kuhusu kuanza Huwa sijali nimeanza marangapi mm muhimu niwe nimesema ukianzwa ndo unajichekea tu 😂😂
 
Yani wew ni mm kabisa 😀 😀
Napenda sana ilo neno kiukweli kuhusu kuanza Huwa sijali nimeanza marangapi mm muhimu niwe nimesema ukianzwa ndo unajichekea tu 😂😂
Sisi ni kila maongezi, kuna wakati tunajadili mambo magumu au mpira nashangaa tu “Nakupenda Nifah wangu”
Nyieeeeee!
 
JF tushaizoea. Mara nyingi mashambulizi hutoka kwa wale wanaotaka kusikika zaidi. Wakiona wapo left out ndio wanaanza malalamiko.
Ha ha ha,huwezi zoea matatizo aisee
 
Back
Top Bottom