Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Balaaa tupu... Utakubali mwenyewe🤣🤣🤣🤣 balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaaa tupu... Utakubali mwenyewe🤣🤣🤣🤣 balaa
Be honest, wakati unasoma mwili haujasisimka? Moyo haukushtuka?Leo mmeamua kunikomoa eti?
Tembea uoneHiyo ndo nasikia kwako mkuu....
Moyo wako umetengeneza usugu wa kupendwa, kama vile mwili uliozoea antibiotic na kuwa na drug resistance!Tatizo wanaoniambia ni wengi
🤣🤣🤣🤦🏼♀️ Kabisa Kabisa
🤣🤣🤣🤣 lolote linawezekana.Kwa hiyo nihesabu kuwa hii "nakupenda " haijaambatana na sikukuu na mazaga ya tar.14?🤣
Yani wew ni mm kabisa 😀 😀Kwangu hilo ndilo neno ninalopenda kumwambia zaidi kaka mzuri wangu, siwezi kumtumia texts tatu bila kumwambia nampenda.
Same kwake, umegeuka utaratibu wetu na kiukweli ndilo neno napenda kusikia kutoka kwake.
Nyie wenzetu vipi? Asiponiambia ananipenda sina raha.
Sisi ni kila maongezi, kuna wakati tunajadili mambo magumu au mpira nashangaa tu “Nakupenda Nifah wangu”Yani wew ni mm kabisa 😀 😀
Napenda sana ilo neno kiukweli kuhusu kuanza Huwa sijali nimeanza marangapi mm muhimu niwe nimesema ukianzwa ndo unajichekea tu 😂😂
Niambie babyMamaSamia2025 njoo nikuambie kitu
Ndiyo baby. Njoo PM tuyajengeTayari umechukua?
PmWhatsApp au Pm?
JF tushaizoea. Mara nyingi mashambulizi hutoka kwa wale wanaotaka kusikika zaidi. Wakiona wapo left out ndio wanaanza malalamiko.Mada ya watu ile,muda si mrefu tungeshambuliwa