Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo baby mama wangu, kwako nimefika nadhan we mwenyewe unajua🤣🤣😍😍😍upo mwamba wangu?
Hongereni sana, huwa napenda sana kuona wawili wakipendana na kutendeana ya upendo kwa sababu kwenye kipindi fulani kwenye maisha yangu niliyaishi hayo ya upendo hata kama hatukufikia lengo naapreciate, ni best ever kama ujawahi fikia level hii huwezi kunielewa namaanisha nini.Kiukweli kabisa sijawahi kuwa na mwanaume ambaye chemistry yetu ni kama mimi na kaka mzuri.
Haya na mengine mengi yalinifanya nikashindwa kumsahau, sasa hivi tuko pamoja tena hakuna kingine nahitaji katika hii dunia.
Hongera sana cute...,pendo lenu lizidi kuchanuaMumy To yeye sijui unazungumzia mahusiano ya aina gani hapa?
Sisi wa kufa na kuzikana ambao tuna miaka nenda rudi tumeshajizowelea na huwa sioni kama akiandika hilo neno kuna kaunafiki ndani kwangu naamini anamaanisha na bila shaka kwa upande wake ni vivyo hivyo.
Trust me nikianza kukwambia nakupenda ni kweli, huwa namaanisha kwa sababu najua hilo neno sio jepesi kama wengi tunavyolichukulia.Hakika
Umekujaje huku😂😂😳🧐😂 naam
💋💋💋 chukua hii kutoka kwangu kipenzi,nitakupenda siku zote haijalishi changamoto ngapi ntapitia kwa ajili yako,wewe ndio kila kitu kwangu, always u will be the only one!Kabisa Kabisa,huoni husikii.....ngoja nikupofue mwenyewe😘😘😘🤒
Wee,sema kweli babe? Ngoja nianze Kujifunza kuvaa hijab 😘😘😍💋💋💋 chukua hii kutoka kwangu kipenzi,nitakupenda siku zote haijalishi changamoto ngapi ntapitia kwa ajili yako,wewe ndio kila kitu kwangu, always u will be the only one!
😂 ulitaka nibaki kulekuleUmekujaje huku😂😂😳🧐
Mi kukwambia nakuambia the rest utajua mwenyewe, nikiona unanipuuzia napunguza taratibu mwshowe naachaKuambiwa nakupenda si kazi,,,,shida utekelezaji kuonyesha kweli tunapendana
HahahahahaKumbe🤣🤣🤣🤣 sawasawa✌️
HahahahahaAisee,mapenzi bhana....kuna mtu anakuja maishani mwako kupumzika tu then aendelee na safari....haijalishi mmeoana au la
sikaziiiSelfika?