ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Kabisa mkuu vinginevyo utanyookaMahusiano ya siku hizi jitahidi sana uwe upande wa "nakupenda pia"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu vinginevyo utanyookaMahusiano ya siku hizi jitahidi sana uwe upande wa "nakupenda pia"
Mbona kinyonge jmnSawasawa🤒
Ila inabidi tu ulitumie maana mwanamke bila kumdanganya anakuona huna vibeKabisa kumbe umedhamiria au unamdanganya kweli🙄
Nina hamuLitumike neno gani mkuu
alinipiga chini kisa iyo kishenzi tu😂😂akajibuje
mpende pia mtoto wa watu mbona ni simpo sana.Mtoto wa mtu wakati tunaanza mahusiano alikua akiniambia nakupenda nilikua kama kwenye hako kapicha aisee😂😂😂😂🤣...nilivyofall sasa akiniambia nakupenda ..venye ninafeel na kumjibu nyiee acheni tu.
Nampenda..sana tumpende pia mtoto wa watu mbona ni simpo sana.
Basi nilikuelewa vibaya, kwahiyo sahivi akikwambia unahisi tofaut sana na ilivyokuwa mwanzo, u feel somethng good and strongNampenda..sana tu
Veterani anataka kurud ligi kuu, 😂😂. Azingatie ndondo tuu ndio zinamhusu ligi za mchangani. Mengine waachiwe watotoKazi na umri.
Ukiona neno nakupenda halifai jua namba zishasogea sana na umeshayapitia mengi.