Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Inaumiza na kuchosha kweli aisee
Ukweli mchungu wa maisha. Huwa hatupati tuvitakavyo, tunapata tunachojaaliwa.

We all wish for a fairy tale life lakini maisha huwa yanakuja na package yake full of suprises. Utapenda usipopendwa, utapendwa usipopenda, unaempenda anakutenda na wewe unaumiza wanokupenda. Mwisho wa siku it's just an endless circle of heartaches and temporary joys.

Siri ni moja tu, when things go well enjoy every second of it and when things go downhill keep hoping kuwa mambo yatakaa sawa. Taking one day at a time.
 
Ngoja niamke nikanywe mie🤒😪
 
Enjoy ila usinywe sana wakware waka take advantage😂😂😂
🤣🤣🤣 umenikumbusha weekend iliyopita kidogo niliwe mate...daah...kweli stress za kupunguza na pombe si njema Kabisa
 
Uzuri hata ukifanya maamuzi ya kipuuzi pakikucha unailaumu pombe😂

1710616431216.png

Akili ikikaa sawa ushabadilishana mate na msela hapo unaisingizia pombe tu😂😂😂
 
Tutumie hili wakati tunatafuta ufumbuzi

n 3^07 !

Geuza simu usipo elewa😃
 
Pombe zikikata unaapa hugusi tena ila mambo yakivurugika kichwani unatafuta chupa zako kadhaa😂
Mi siyo mnywaji sana miezi miwili au mmoja mara moja...nikienda muda huu maana yake mwezi mmoja Mara mbili😞
 
Kikubwa ni kujua kipimo chako.

Mimi ni mpenzi mtazamaji kwa wanywaji😜. Wakilewa na kufanya vituko napata burudani.
 
Yaani ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi. Sijui tatizo nini?

Baby nakupenda!
Baby mwenyewe 👇🏽

View attachment 2899305
Hiyo na kupenda iwe kama bahasha halafu ndani yake kuwe na hela ndio inaenda vizuri sana jada kwa nyie wanawake wa siku hizi mnakuwa faster kuielewa na kupenda ya aina hii.Ila zile kavukavu empty ndani hazina kitu (fedha) hamzi helewi,japo wazee wa zamani walikuwa wanazielewa ndio maana true love siku hizi imebaki kwenye tamthilia.
 
Ni kweli mkuu,uchumi umewekwa ndiyo kipaumbele
 
Kikubwa ni kujua kipimo chako.

Mimi ni mpenzi mtazamaji kwa wanywaji😜. Wakilewa na kufanya vituko napata burudani.
Mi nimejifunza kunywa 2020 ndoa ilipokuwa ya motooo
 
Basi wewe si mnywaji ni muonjaji.

Nashukuru Mungu sikuwahi kuvutiwa na mambo. Company yangu yote ni wanywaji wazuri lakini nimejikuta pombe kutonivutia.
 
Hongera sana,sasa ukija mbeya utakunywa nini? Fanta Orange?
 
Ndio maana siku hizi ufundi/ubunifu kwenye kutongoza umepungua sio kama zamani, hampendi maneno mengi mnaona kama kelele.
Sikuhizi nikikupa namba maana yake nimekubali,,,,siwezi kukupa namba kama sijaridhia
 
Back
Top Bottom