Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Pray and hope for the best, mengine tuachie Mungu tu.So what we gonna do?!☹️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pray and hope for the best, mengine tuachie Mungu tu.So what we gonna do?!☹️
Ukweli mchungu wa maisha. Huwa hatupati tuvitakavyo, tunapata tunachojaaliwa.Inaumiza na kuchosha kweli aisee
Ngoja niamke nikanywe mie🤒😪Ukweli mchungu wa maisha. Huwa hatupati tuvitakavyo, tunapata tunachojaaliwa.
We all wish for a fairy tale life lakini maisha huwa yanakuja na package yake full of suprises. Utapenda usipopendwa, utapendwa usipopenda, unaempenda anakutenda na wewe unaumiza wanokupenda. Mwisho wa siku it's just an endless circle of heartaches and temporary joys.
Siri ni moja tu, when things go well enjoy every second of it and when things go downhill keep hoping kuwa mambo yatakaa sawa. Taking one day at a time.
Enjoy ila usinywe sana wakware waka take advantage😂😂😂Ngoja niamke nikanywe mie🤒😪
Uzuri hata ukifanya maamuzi ya kipuuzi pakikucha unailaumu pombe😂🤣🤣🤣 umenikumbusha weekend iliyopita kidogo niliwe mate...daah...kweli stress za kupunguza na pombe si njema Kabisa
Na msela mwenyewe ndo huyo sasa🤣🤣🤣🤣🙌🏿Uzuri hata ukifanya maamuzi ya kipuuzi pakikucha unailaumu pombe😂
View attachment 2936678
Akili ikikaa sawa ushabadilishana mate na msela hapo unaisingizia pombe tu😂😂😂
Pombe zikikata unaapa hugusi tena ila mambo yakivurugika kichwani unatafuta chupa zako kadhaa😂Na msela mwenyewe ndo huyo sasa🤣🤣🤣🤣🙌🏿
Kikubwa ni kujua kipimo chako.Mi siyo mnywaji sana miezi miwili au mmoja mara moja...nikienda muda huu maana yake mwezi mmoja Mara mbili😞
Hiyo na kupenda iwe kama bahasha halafu ndani yake kuwe na hela ndio inaenda vizuri sana jada kwa nyie wanawake wa siku hizi mnakuwa faster kuielewa na kupenda ya aina hii.Ila zile kavukavu empty ndani hazina kitu (fedha) hamzi helewi,japo wazee wa zamani walikuwa wanazielewa ndio maana true love siku hizi imebaki kwenye tamthilia.Yaani ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi. Sijui tatizo nini?
Baby nakupenda!
Baby mwenyewe 👇🏽
View attachment 2899305
Ni kweli mkuu,uchumi umewekwa ndiyo kipaumbeleHiyo na kupenda iwe kama bahasha halafu ndani yake kuwe na hela ndio inaenda vizuri sana jada kwa nyie wanawake wa siku hizi mnakuwa faster kuielewa na kupenda ya aina hii.Ila zile kavukavu empty ndani hazina kitu (fedha) hamzi helewi,japo wazee wa zamani walikuwa wanazielewa ndio maana true love siku hizi imebaki kwenye tamthilia.
Basi wewe si mnywaji ni muonjaji.Mi nimejifunza kunywa 2020 ndoa ilipokuwa ya motooo
Ndio maana siku hizi ufundi/ubunifu kwenye kutongoza umepungua sio kama zamani, hampendi maneno mengi mnaona kama kelele.Ni kweli mkuu,uchumi umewekwa ndiyo kipaumbele