Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda.

Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka nembo hiyo kuashiria kuwa yeyote atakayeingia uwanjani kuanzia sasa lazima azikwe.Ubaya ubwela ndio hii sasa.

Simba imechezewa sana msimu uliopita, wachezaji wanasajiliwa wakiwa wazuri wakija SImba majeruhi kibao, wakiwa simba viwango vinashuka, wachezaji wanaonekana wazito, nyota zao wanachukua wale wachezaji wa Avic Town, yaani Simba imekuwa kama Paka vile.Haiwezekani hii msimu huu.

Wale wazee wa Ubaya Ubwela ndio wamependekeza jina hilo kukaa hapo ili kuashiria kuwa ubaya ubaya msimu huu.

Sanda hiyo katika jezi imeenda kufukiwa kule mbuga za wanyama kwenye hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro.Kule kuna kwenye hifadhi kuna simba wengi wa msituni, Simba hawakwenda kuzindua jezi tu kule, wamekwenda kutekeleza ushauri wa wazee kuwa kwa vile Morogoro ndio ngome yetu na tumewahi kutangaza ubingwa mara mbili tukiwa kule, basi ubaya ukafanyikie kule kwenye hifadhi.

Washabiki wa Simba, kuweni watulivu, unyama na umafia umefanyika mkubwa kule hifadhini Mikumi.Lengo ni kuhakikisha kuwa msimu ujao heshima ya Simba inarudi.

Msimu ujao ligi ngumu sana, Azam wamesajili vizuri, Ihefu wako vizuri, Coastal na klabu nyingine zimesajili vizuri sana, sasa hao wote wanashirikiana kuisaidia Utopolo, yaani Utopolo atakuwa akiokota pointi akicheza nao halafu hao wasaidizi wa utopolo watakuwa na kazi ya kuikazia Simba.

Sasa wazee waliopewa kazi ya kurudisha ubaya ubwela wameshauri jezi kwanza zipewe nguvu, itengenezwe nembo iwekwe pale ikisomeka neno Sanda.

Sanda ni neno lenye nguvu sana, sanaaaaaa.Hapo ndio ubaya ubwela wa Simba ulipo.Ukisikia wakisema ubaya ubwela ndio hayo yaliyofanyika hifadhini leo.

Mwaka jana ubaya ulifanyikia kule mlima kilimanjaro Hersi akaenda kule kule kileleni kushusha kibegi na ndipo nyota ya Simba ilipofifia.

Kwahiyo ndugu zangu wazee wangu wanaojua maana ya Sanda wamenihakikishia kuwa neno hilo ndio nguvu ya Simba ilipo msimu ujao, Nyota ya mnyama iko hapo kwenye hiyo jezi.

Kuweni makini, hutaki jezi acha sisi tununue, we kanunue ya Yanga.Watu tuko kimkakati sasa hivi, kama hujitaki na huitaki familia yako basi pinga jezi hiyo.Kudadadeki.
 
Makolo bana!

IMG-20240724-WA0166.jpg

IMG-20240724-WA0167.jpg
 
Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka nembo hiyo kuashiria kuwa yeyote atakayeingia uwanjani kuanzia sasa lazima azikwe.Ubaya ubwela ndio hii sasa.

Aliyevaa sanda ndiyo anazikwa nayo siyo yule anayebeba maiti au aliyekuja msibani kula wali

Mwaka jana ubaya ulifanyikia kule mlima kilimanjaro Hersi akaenda kule kule kileleni kushusha kibegi na ndipo nyota ya Simba ilipofifia.

Sasa kwa nini hatukupanda tena kupeleka kibegi kingine? Maporter tuliowatumia wanapanda kule kila siku, sidhani kama Hersi angeona tumepanda tena angeamua kurudi kule.

Kuweni makini, hutaki jezi acha sisi tununue, we kanunue ya Yanga.Watu tuko kimkakati sasa hivi, kama hujitaki na huitaki familia yako basi pinga jezi hiyo.Kudadadeki.

Hii ndiyo Mzee Magoma anaita Kulunjuani?
 
Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda.

Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka nembo hiyo kuashiria kuwa yeyote atakayeingia uwanjani kuanzia sasa lazima azikwe.Ubaya ubwela ndio hii sasa.

Simba imechezewa sana msimu uliopita, wachezaji wanasajiliwa wakiwa wazuri wakija SImba majeruhi kibao, wakiwa simba viwango vinashuka, wachezaji wanaonekana wazito, nyota zao wanachukua wale wachezaji wa Avic Town, yaani Simba imekuwa kama Paka vile.Haiwezekani hii msimu huu.

Wale wazee wa Ubaya Ubwela ndio wamependekeza jina hilo kukaa hapo ili kuashiria kuwa ubaya ubaya msimu huu.

Sanda hiyo katika jezi imeenda kufukiwa kule mbuga za wanyama kwenye hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro.Kule kuna kwenye hifadhi kuna simba wengi wa msituni, Simba hawakwenda kuzindua jezi tu kule, wamekwenda kutekeleza ushauri wa wazee kuwa kwa vile Morogoro ndio ngome yetu na tumewahi kutangaza ubingwa mara mbili tukiwa kule, basi ubaya ukafanyikie kule kwenye hifadhi.

Washabiki wa Simba, kuweni watulivu, unyama na umafia umefanyika mkubwa kule hifadhini Mikumi.Lengo ni kuhakikisha kuwa msimu ujao heshima ya Simba inarudi.

Msimu ujao ligi ngumu sana, Azam wamesajili vizuri, Ihefu wako vizuri, Coastal na klabu nyingine zimesajili vizuri sana, sasa hao wote wanashirikiana kuisaidia Utopolo, yaani Utopolo atakuwa akiokota pointi akicheza nao halafu hao wasaidizi wa utopolo watakuwa na kazi ya kuikazia Simba.

Sasa wazee waliopewa kazi ya kurudisha ubaya ubwela wameshauri jezi kwanza zipewe nguvu, itengenezwe nembo iwekwe pale ikisomeka neno Sanda.

Sanda ni neno lenye nguvu sana, sanaaaaaa.Hapo ndio ubaya ubwela wa Simba ulipo.Ukisikia wakisema ubaya ubwela ndio hayo yaliyofanyika hifadhini leo.

Mwaka jana ubaya ulifanyikia kule mlima kilimanjaro Hersi akaenda kule kule kileleni kushusha kibegi na ndipo nyota ya Simba ilipofifia.

Kwahiyo ndugu zangu wazee wangu wanaojua maana ya Sanda wamenihakikishia kuwa neno hilo ndio nguvu ya Simba ilipo msimu ujao, Nyota ya mnyama iko hapo kwenye hiyo jezi.

Kuweni makini, hutaki jezi acha sisi tununue, we kanunue ya Yanga.Watu tuko kimkakati sasa hivi, kama hujitaki na huitaki familia yako basi pinga jezi hiyo.Kudadadeki.
Msitupange acheni ucheni uhuni
 
Ovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom