Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu
Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga
Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu kimahusiano?
Hivi Sasa huwezi kutofautisha mahusiano ya mapenzi na hizi terminology Sasa ni Sawa na "company" au "partnership" hakuna tena Ile ladha ya upendo kama zamani
Kwa sasa mahusiano yanatulazimisha hivi vitu :
👉Unatakiwa uwe HR mzuri sana kwenye kurecruit mtu kwenye mahusiano , hisia zinatakiwa ziwe pembeni kabisa angalia productivity ya huyo mtu unaemchagua
👉Unatakiwa uwe accountant mzuri, kweli kweli kwenye kupiga hesabu za kummudu huyo mtu mwisho wa siku usije ukala loss kwenye uwekezaji wako
👉Unatakiwa uwe risk manager mzuri, mtu yupo radhi kusomesha, ajinyime kula ata kutowajali ndugu zake ili ampe mpenzi tu, na huyo analaumu anasema kapewa kidogo shame on them.
👉Nitoe tu rai
Weka pembeni neno mpenzi mwanaume mwenzangu
We jua tu upo na "partner" ama "shareholder " kwenye kampuni yenu inayoitwa "love relationship" kuwa mjanja
Hakikisha unaweka condition ambazo ikitokea kampuni yenu ya mapenzi inaleta shida hautapata loss kubwa ya fedha.
Karibuni kwa maoni na michango.