Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Shikamooni wakubwa wote humu ndani.
Maisha ni fumbo,
Fumbo hili ni kwenye kila kitu kwenye maisha,ni juzi tu hapa Mimi na marafiki zangu tulikuwa tunachagua earphones zile za Bluetooth .
Basi Mimi nilinunua za gharama zaidi kuliko wenzangu,lakini cha ajabu mpaka Jana jioni zilikuwa haziimbi tena,nilicheka mno,yaani kitu nilichonunua Kwa gharama imeharibika,lakini wenzangu earphones zao hata leo wanazo.
Kitu nachojifunza ni machaguo haswa Sisi wanawake,kumbukeni hatutongozi ila tunatongozwa,je yupi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli atanilinda,atanijali atanionea huruma,ni mchamungu,ana imani.
Hapa kwenye Imani ndiyo penyewe napotaka napenda mtu aniamini,napenda kuaminiwa .
Haya karibuni,matusi kejeli staki, tuheshimiane
Yote Kwa yote mapenzi ni matamu umpate mwenye kujali,mmmmh Mungu nisaidie