ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Ear phone mbovu, hapohapo mapenzi matamu, contradictionSijaelewa
Ear phone mbovu, hapohapo mapenzi matamu, contradictionSijaelewa
Utaelewa nini wewe kichwa kibovuEar phone mbovu, hapohapo mapenzi matamu, contradiction
Kwaiyo mapenzi unayoyasifia matamu ni yale ya rafiki zako ambao hawakuwa na mbwembwe kama weweUtaelewa nini wewe kichwa kibovu
Unakuta mwanamke mmoja huyo anataka wanaume 15 tofauti kutoka kwa mwanaume mmoja tena mwenye sifa za ki malaika...Tatizo la wanawake mnataka wanaume wenye sifa nyingi njema wakati nyie wenyewe hamna hata sifa moja kati ya hzo unazotamani mwanaume wako awe nazo
Unahitaji akili kubwa kunielewa Mimi siwezi kosa mwanaume jilishe upepo tuKwaiyo mapenzi unayoyasifia matamu ni yale ya rafiki zako ambao hawakuwa na mbwembwe kama wewe
Maana yako yalishaharibika kwa gharama kubwa, huoni unajichanganya.?
"Mapenzi matamu" utamu unautolea wapi wakati Huna mpenzi. Emptyset
Si kasema mpaka kufikia jioni yake zilikua haziimbi tena [emoji2][emoji2] I think you already know the drill in relation to her topic.Malizia kwanza hizo earphones ilikuwaje zikaishiaje....
Kandambili zakoUnahitaji akili kubwa kunielewa Mimi siwezi kosa mwanaume jilishe upepo tu
tuheshimiane