Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Vyote kwa pamoja 😹😹🤣Awachezee huku anawapa mbunye Au huku anawanyima?
Vyote kwa pamoja 😹😹🤣Awachezee huku anawapa mbunye Au huku anawanyima?
Kama anawapa mbunye bc hapo hakuna hasara kwa hao wanaumeVyote kwa pamoja 😹😹🤣
Wqnatafuta a loyal slave aka simpTatizo la wanawake mnataka wanaume wenye sifa nyingi njema wakati nyie wenyewe hamna hata sifa moja kati ya hzo unazotamani mwanaume wako awe nazo
Ukicheza na oil chafu lazima na wewe uchafukeVyote kwa pamoja 😹😹🤣
Aha Umemaniisha Earphone ni mtuShikamooni wakubwa wote humu ndani.
Maisha ni fumbo,
Fumbo hili ni kwenye kila kitu kwenye maisha,ni juzi tu hapa Mimi na marafiki zangu tulikuwa tunachagua earphones zile za Bluetooth .
Basi Mimi nilinunua za gharama zaidi kuliko wenzangu,lakini cha ajabu mpaka Jana jioni zilikuwa haziimbi tena,nilicheka mno,yaani kitu nilichonunua Kwa gharama imeharibika,lakini wenzangu earphones zao hata leo wanazo.
Kitu nachojifunza ni machaguo haswa Sisi wanawake,kumbukeni hatutongozi ila tunatongozwa,je yupi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli atanilinda,atanijali atanionea huruma,ni mchamungu,ana imani.
Hapa kwenye Imani ndiyo penyewe napotaka napenda mtu aniamini,napenda kuaminiwa .
Haya karibuni,matusi kejeli staki, tuheshimiane
Yote Kwa yote mapenzi ni matamu umpate mwenye kujali,mmmmh Mungu nisaidie
Sijaelewa
Anasema ni fumboMalizia kwanza hizo earphones ilikuwaje zikaishiaje....
Hii picha ina maana ganiNo reform, no election... Hatusimamishi vita ikiwa bado tunashambuliwa!View attachment 3378063
Post ipo wazi ni earphone sasa hayo mengine ni wakoAha Umemaniisha Earphone ni mtu
Aliyeharibika ila wenzio bado wanadumu kwenye mahusiano
Alf ww break up ikitokea?
ZimeharibikaMalizia kwanza hizo earphones ilikuwaje zikaishiaje....