Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Sikujui Sura,haiba wala tabia inawezekanajeUpo tayari nikuoe ?
Hahahahahahaha ππππ€£ππ π.
Mbona kinyonge hivyo tajiri, unatuangusha ππMarry! Kwani jana si tulikubaliana kwamba mimi na wewe ni wapenzi!
πππ’
Ngoja niende kwenye uzi wangu nikaendelee kuliaπͺπͺπͺ
Mcha Mungu anamuamini Mungu kuliko weweShikamooni wakubwa wote humu ndani.
Maisha ni fumbo,
Fumbo hili ni kwenye kila kitu kwenye maisha,ni juzi tu hapa Mimi na marafiki zangu tulikuwa tunachagua earphones zile za Bluetooth .
Basi Mimi nilinunua za gharama zaidi kuliko wenzangu,lakini cha ajabu mpaka Jana jioni zilikuwa haziimbi tena,nilicheka mno,yaani kitu nilichonunua Kwa gharama imeharibika,lakini wenzangu earphones zao hata leo wanazo.
Kitu nachojifunza ni machaguo haswa Sisi wanawake,kumbukeni hatutongozi ila tunatongozwa,je yupi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli atanilinda,atanijali atanionea huruma,ni mchamungu,ana imani.
Hapa kwenye Imani ndiyo penyewe napotaka napenda mtu aniamini,napenda kuaminiwa .
Haya karibuni,matusi kejeli staki, tuheshimiane
Yote Kwa yote mapenzi ni matamu umpate mwenye kujali,mmmmh Mungu nisaidie
Unaichukulia mbege kirahisi tu sio?Hahahahahahaha ππππ€£ππ π.
We mzee hizo mbege zinakupeleka pabaya.
FUNGA NA KUOMBA UMPATE MUME AMBAYE MUNGU AMEKUSUDIAShikamooni wakubwa wote humu ndani.
Maisha ni fumbo,
Fumbo hili ni kwenye kila kitu kwenye maisha,ni juzi tu hapa Mimi na marafiki zangu tulikuwa tunachagua earphones zile za Bluetooth .
Basi Mimi nilinunua za gharama zaidi kuliko wenzangu,lakini cha ajabu mpaka Jana jioni zilikuwa haziimbi tena,nilicheka mno,yaani kitu nilichonunua Kwa gharama imeharibika,lakini wenzangu earphones zao hata leo wanazo.
Kitu nachojifunza ni machaguo haswa Sisi wanawake,kumbukeni hatutongozi ila tunatongozwa,je yupi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli atanilinda,atanijali atanionea huruma,ni mchamungu,ana imani.
Hapa kwenye Imani ndiyo penyewe napotaka napenda mtu aniamini,napenda kuaminiwa .
Haya karibuni,matusi kejeli staki, tuheshimiane
Yote Kwa yote mapenzi ni matamu umpate mwenye kujali,mmmmh Mungu nisaidie
KabisaTatizo la wanawake mnataka wanaume wenye sifa nyingi njema wakati nyie wenyewe hamna hata sifa moja kati ya hzo unazotamani mwanaume wako awe nazo
πππ
Letβs prayNiseme sina bahati au labda tatizo nyota!
πͺπͺπͺπͺπͺ
Awachezee huku anawapa mbunye Au huku anawanyima?Maisha ya ss hivi bado unatafuta mwanaume wa kukupenda?? πΉπΉ
Wee wachezee buana muda ni mchache Marry D
That hurtsMarry! Kwani jana si tulikubaliana kwamba mimi na wewe ni wapenzi!
πππ’
Ngoja niende kwenye uzi wangu nikaendelee kuliaπͺπͺπͺ
PoleMkuu jana usiku kaniaga na meseji ya makopa huyu aaAAAAGH!
Nimeiweka rehani roho yangu mimi..
Penzi ni mitihani kila siku mimi..
Nikajua haina madharau hasi.Unaichukulia mbege kirahisi tu sio?