mcshonde
Member
- Jul 15, 2022
- 66
- 154
Ndege ndogo ya abiria ilianguka kwenye bonde mkoani Pokhara, nchini Nepal, mapema jumapili. Ndege hii ilikuwa imebakiza sekunde 10 - 20 ili itue kwenye kiwanja kipya cha Pokhara kilichozinduliwa wiki 2 zilizopita.
Mpaka hivi sasa watu 68 kati ya 72 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki dunia, mmojawapo akiwa ni Sonu Jaiswal. So Sad.
Mpaka hivi sasa watu 68 kati ya 72 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki dunia, mmojawapo akiwa ni Sonu Jaiswal. So Sad.