Nepal: Mmoja alikuwa Live Facebook kabla ndege haijaanguka

Nepal: Mmoja alikuwa Live Facebook kabla ndege haijaanguka

Usafiri wa anga kwa nchi ya Nepal muda mwingi hali ya hewa huleta shida,nakumbuka tulishinda airport ya Kathmandu siku mbili kusubiria hali ya hewa ikae vizuri ndege iruke kwenda Lukla.
Missing u Nepal.
RIP kwa wote.
Tatizo ni Safu za milima ya Himalaya , alaf wanadai watu 68 wamefariki na ndege ilikuwa na watu 72 total , hao wanne wamenusurika ama vip
 
Usafiri wa anga kwa nchi ya Nepal muda mwingi hali ya hewa huleta shida,nakumbuka tulishinda airport ya Kathmandu siku mbili kusubiria hali ya hewa ikae vizuri ndege iruke kwenda Lukla.
Missing u Nepal.
RIP kwa wote.
Nasikia nchi imejaa milima milima tu na mabonde.
 
Hawa ndo vichwa ngumu wasiozima simu linapotoka tangazo, ona sasa kaingilia mfumo wa mawasiliano ya ndege.
Ndege za kisasa sio lazima kuzima ukiingia tu simu zote zinaenda flight mode. Ila haizuiliwi kwenda live pengine kwenye ndege kuna wifi huezijua
 
Duh.....sikuwa najua kuwa sijui

Sanaa ya kifo
 
Ndege ndogo ya abiria ilianguka kwenye bonde mkoani Pokhara, nchini Nepal, mapema jumapili. Ndege hii ilikuwa imebakiza sekunde 10 - 20 ili itue kwenye kiwanja kipya cha Pokhara kilichozinduliwa wiki 2 zilizopita.

Mpaka hivi sasa watu 68 kati ya 72 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki dunia, mmojawapo akiwa ni Sonu Jaiswal. So Sad.

View attachment 2483311
Dunia inasukwasukwa kila kona. Yu karibu malangoni.
 
Kichwa kibaeleza habari ya fb live; kiini hakijadonoa hata mstari mmoja kuhusu hilo.

Au aliyekuwa live ni miongoni mwa hao 4! Bado kuna utata, 4 ni manusra? Wamepotea/hawajaonekana hata miili yao!!

Uandishi wa Mchongo usiozingatia kanuni
 
Back
Top Bottom