Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kuna waliosalia?Mungu awarehemu na kuwapumzisha marehemu wote.
Majeruhi wapate nafuu mapema
Tatizo ni Safu za milima ya Himalaya , alaf wanadai watu 68 wamefariki na ndege ilikuwa na watu 72 total , hao wanne wamenusurika ama vipUsafiri wa anga kwa nchi ya Nepal muda mwingi hali ya hewa huleta shida,nakumbuka tulishinda airport ya Kathmandu siku mbili kusubiria hali ya hewa ikae vizuri ndege iruke kwenda Lukla.
Missing u Nepal.
RIP kwa wote.
Nasikia nchi imejaa milima milima tu na mabonde.Usafiri wa anga kwa nchi ya Nepal muda mwingi hali ya hewa huleta shida,nakumbuka tulishinda airport ya Kathmandu siku mbili kusubiria hali ya hewa ikae vizuri ndege iruke kwenda Lukla.
Missing u Nepal.
RIP kwa wote.
Yes milima ni mingi na mabonde pia.Nasikia nchi imejaa milima milima tu na mabonde.
Ndege za kisasa sio lazima kuzima ukiingia tu simu zote zinaenda flight mode. Ila haizuiliwi kwenda live pengine kwenye ndege kuna wifi huezijuaHawa ndo vichwa ngumu wasiozima simu linapotoka tangazo, ona sasa kaingilia mfumo wa mawasiliano ya ndege.
Duh.....sikuwa najua kuwa sijui
Dunia inasukwasukwa kila kona. Yu karibu malangoni.Ndege ndogo ya abiria ilianguka kwenye bonde mkoani Pokhara, nchini Nepal, mapema jumapili. Ndege hii ilikuwa imebakiza sekunde 10 - 20 ili itue kwenye kiwanja kipya cha Pokhara kilichozinduliwa wiki 2 zilizopita.
Mpaka hivi sasa watu 68 kati ya 72 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki dunia, mmojawapo akiwa ni Sonu Jaiswal. So Sad.
View attachment 2483311
Usafiri wa anga kwa nchi ya Nepal muda mwingi hali ya hewa huleta shida,nakumbuka tulishinda airport ya Kathmandu siku mbili kusubiria hali ya hewa ikae vizuri ndege iruke kwenda Lukla.
Missing u Nepal.
RIP kwa wote.
During take off and close to landing?Point yangu ya Pili Nimekuuliza..
Kuwa hujui kuwa kuna ndege zina internet service... Pungu1