Net budget TSH 10 Million. Je, naweza agiza na kumiliki IST kutoka nje?

Asante mkuu. Maana yake nikijipa muda wa kuzisoma na kuzielewa taratibu za utoaji mzigo bandarini na mpangilio wa document navuta mzigo bila kuhitaji agent? Au sheria inalazimisha kutumia agent na kuzia mtu binafsi?
 
Ni takwa la kisheria ulimwenguni kote kutumia agent na sio mtu binafsi
 
Kwa matairi anaweza kuzugia zugia hata mwaka, hata betri atasuuza sura kwanza
 
Ujumlishe na ada ya wakala wa kulitoa bandarini,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…